DOKEZO TAKUKURU chunguzeni Halmashauri ya Mji wa Kibaha pananuka wizi kuhusu ardhi

DOKEZO TAKUKURU chunguzeni Halmashauri ya Mji wa Kibaha pananuka wizi kuhusu ardhi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nimeenda nimepewa account number ya manispaa kulipia ... Ila karatasi yao ina upande wa control number .. je naibiwa kuweka kwa account au?? Je baada ya kumaliza kulipa kiasi nilichopewa nilipe nini kitafuata nimewauliza wamenambia nimalize kulipa maelekezo mengine nitapewa nikimaliza kulipa. Account inasoma jina la manispaa
 
Back
Top Bottom