Unaangaliaje hiyo michango kama imepelekwa PSSSF, ebu nisanue mimi huwa nafikiri michango inakatwa automatic na kuingia automatic PSSSFMimi hapa nimeangalia jana, pesa ya miezi 5 haijafika PSSSF. Mwezi Oktoba na Desemba 2023, Mwezi Januari, Machi na Aprili 2024.
Na nipo taasisi kubwa tu.
Unaona hii screen shot inavyoonyesha mapungu makubwa ya michango? Wengi tunapigwa sana!sign up oline kwa kutumia credentials zako utaweza ku print statement uone vile hazina hawapeleki hela.
mimi naona last contribution ni feb 2024
Hamna hii huduma Online?Nenda ofisi za PSSSF lililokaribu na wewe! Ulizia wakupe status ya michango yako! Watakuprintia na kukupa bure! Ili mradi uwe na check number
Hii mifuko inashirikiana na waajiri kuiba! Wamepewa mamlaka ya kumshitaki mwajiri ambaye hapeleki michango! Sasa kwanini hawafanyi hivyo? Wezi pia!Hakuna watu wapuuzi kama NSSF na PSSSF. Unazungushwa utadhani michango aliweka mama yake
Kwani uliko hakuna ofisi zao? Haya mambo ya online kanjanja!Hamna hii huduma Online?
Unapeleka kesi ya ngedere kwa nyani? Unachekesha kweli kweli. Dawa ni kupigana tupate mfumo mpya wa uongozi pamoja na viongozi wenye nia ya kutumikia wananchi.Huko Mbeya tumeona watumishi wa TRA wakichepusha hela ya umma kuingia kwenye mtandao wa watu binafsi na kupiga hela. Huko Arusha tumeona mkutano wa Makonda mwananchi mlipa kodi (Halmashauri ya Arusha) akilalamika kodi zinachepushwa na kuingia katika mtandao wa wapigaji na wala haziingii serikalini kuu. Hata Rais katika hotuba zake aliwahi kusema kwa mujibu wa ripoti ya CAG mifumo ya ukusanyaji kodi haisomani.
Sasa mimi hebu niwaelekeze mahali palipo na wizi wa kuchepusha hela za michango ya mifuko ya hifadhi ya jamii kwa watumishi wa umma ni wizara ya fedha (HAZINA). Hakuna mwajiriwa hata mmoja ambaye katika utumishi wake anaweza kukuta hakuna kasoro ya malipo yake ya mwezi ya 20%. Utakuta miezi kadhaa wamepeleka pungufu au hakuna kabisa. Ukienda kudai malipo lazima uandike barua ya mapunjo na haya madai huwa hayalipwi kabisa! Utadai na kuandika barua mpaka unaamua kuacha na kukata tamaa kabisa!
Nina jamaa zangu wengi kabisa katika taasisi za umma hawakupelekewa 15% ya michango yao kwa zaidi ya miaka kadhaa. Walikuwa wanapelekewa 5% nyingine inachepushwa kusikojulikana. Wengine wamestaafu, kuachakazi, kufariki wamedai hela yao mpaka wamechoka. Hebu wahusika sijui TAKUKURU, PSSSF, NSSF sijui nini wawaangalie hawa jamaa wa HAZINA katika suala zima la michango ya watumishi.
Nina uhakika na wao wamejitengenezea kamfumo kakuchepusha na kuiba kiasi fulani cha michango kwa kila mtumishi wa umma. Nasema hivyo kwasababu ukienda kudai hulipwi mpaka utachoka! Ukienda ofisini kwao utaambiwa sijui nani na nani anahusika sijui hayupo sijui tutalifanyia kazi! NARUDIA! Michango ya mifuko ya hifadhi ya jamii kwa watumishi wa umma kwa ujumla inapigwa sana!
boss mimi ninazo salary slips zote toka nianze kuchangia, nikijumlisha hela inayotakiwa isome jumla ya michango kuna mapungufu makubwa sana.Unaona hii screen shot inavyoonyesha mapungu makubwa ya michango? Wengi tunapigwa sana!
Hatari! Michango imepigwa panga sio poa!sign up oline kwa kutumia credentials zako utaweza ku print statement uone vile hazina hawapeleki hela.
mimi naona last contribution ni feb 2024
Siyo dhaifu bali na yeye ni mwizi. Hukusikia anawaambia kila mtu ale kwa urefu wa kamab yake? Anafanya makusudi ili 1. Na yeye apate kuiba 2. Asipate upinzani kwenye vyombo vya dola.Huuu wizi ni system, na bahati mbaya awamu hii ndio unegeuzwa tabia, jamaa wanaiba na hawaogopi kwasababu wanajua aliyepo pale juu hajielewi wala hajitambui, ni kama mlevi aliyelewa chakari.
Tuna kiongozi dhaifu sana kuwahi kutokea kwenye hili taifa.
Nenda ofisini kwao! Nadhani kila mkoa kuna ofisi zaoUnaangaliaje hiyo michango kama imepelekwa PSSSF, ebu nisanue mimi huwa nafikiri michango inakatwa automatic na kuingia automatic PSSSF
michango inalambwa.Hatari! Michango imepigwa panga sio poa!
imelambwaNimeangalia hapa kwangu naona septemba na october 2023 michango yangu na mwajiri haipo psssf
Ni kweli ila sisis tumpe sapoti Dkt Samia akiwa anawashughulikia.Samia ndiyo Rais anatakiwa ashughulikie na siyo kumtetea.
Rejea hapo nilipo bold.
🤝Ni kweli ila sisis tumpe sapoti Dkt Samia akiwa anawashughulikia.
Na tumpe kura ya ndiyo 2025 ili hawa wahuni wezi aweze kumalizana nao vizuri