Huna hoja ndugu, asijuwa manufaa ya mradi wa Bagamoyo ni mwehu tuWatanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7.
Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika ndio maana na kudadavua mambo mengi.
Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba mbovu wa kifisafi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Kilichompata Mungu anajua.
Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7.

Mlipokuwa mkipiga makofi Ccm kupora madaraka hamkujua kuwa ndivyo walivyo ?!. Wote wanafanana hata mwendazake naye hakuwa mzalendo kama unavyofikiri. Wote mapacha hao.Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7.
Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika ndio maana na kudadavua mambo mengi.
Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba mbovu wa kifisafi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Kilichompata Mungu anajua.
Nani alikujibu jeuri. Kama alifanya ufisadi mbona hawakumfikisha katika Court?Kwa hiyo kilicho muondoa pale bandarini ni huo Mradi wa Bagamoyo, au ni ufisadi wake alio ufanya? Weka ushahidi basi badala tu ya kuwahukumu hao Takukuru kwa hoja nyepesi.
Halafu pia uache tabia yako ya kujibu wachangia mada jeuri! Sawa?
Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7.
Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika ndio maana na kudadavua mambo mengi.
Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba mbovu wa kifisafi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Kilichompata Mungu anajua.
Kaka Kakoko alikuwa na matatizo mengi tu na mengine ya kimaadili hayawezi kuandikwa humu jukwaani.Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7.
Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika ndio maana na kudadavua mambo mengi.
Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba mbovu wa kifisafi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Kilichompata Mungu anajua.
Mpumbavu kama wewe nashangaa unachangiaKaka Kakoko alikuwa na matatizo mengi tu na mengine ya kimaadili hayawezi kuandikwa humu jukwaani.
Huyu Eric Hamis ameshaonyesha mwelekeo wa CEO anayetumia mbinu bora za kimenejimenti ambazo Kakoko hakuwa nazo.
Matumizi yoyote ya zaidi ya shilingi milioni tano wa kuwajibishwa ni mkurugenzi mkuu.Nani alikujibu jeuri. Kama alifanya ufisadi mbona hawakumfikisha katika Court?
Wanasema usidharau watu sponsor ni binadamu tu anaweza kuzimika muda wowote ule.Maisha yanakwenda kasi sana.
Miezi minne nyuma hawa wanaolalamika na kulialia humu walikuwa untouchable.
Now mambo yamegeuka kabisa wanavyopata tabu na kusononeka mioyoni mwao mpaka huruma.
MATAGA pambaneni tu na zooeni hii hali mpya.
Hakuna mnaloweza kufanya.
Kakoko ninamfahamu vyema sana kuliko unavyodhania.Kukaa kimya ni jibu pia
Mbinu hizo Ni pamoja na kuona kuwa mradi wa Bagamoyo hauna madhara?Kaka Kakoko alikuwa na matatizo mengi tu na mengine ya kimaadili hayawezi kuandikwa humu jukwaani.
Huyu Eric Hamis ameshaonyesha mwelekeo wa CEO anayetumia mbinu bora za kimenejimenti ambazo Kakoko hakuwa nazo.
Anatuletea kiswahili cha Ipwasi ndani.πππππcc:wangari maathaiAMETUBALIKI ndyo nn???
Kweli kabisa.Wanasema usidharau watu sponsor ni binadamu tu anaweza kuzimika muda wowote ule.
inawezekana mwezi mmoja tu baadae ikawa zamu yako.Maisha yanakwenda kasi sana.
Miezi minne nyuma hawa wanaolalamika na kulialia humu walikuwa untouchable.
Now mambo yamegeuka kabisa wanavyopata tabu na kusononeka mioyoni mwao mpaka huruma.
MATAGA pambaneni tu na zooeni hii hali mpya.
Hakuna mnaloweza kufanya.
Management bora ni ile jumuishi. Ndicho kinachoendelea TPA kwa sasa, uongozi uliopita ulikosa skills za kiuongozi.Mbinu hizo Ni pamoja na kuona kuwa mradi wa Bagamoyo hauna madhara?