Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7.
Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika pamoja na uwezo wa kudadavua mambo mengi.
Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba mbovu wa kifisafi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Kilichompata Mungu anajua.
Soma Deus Kakoko afikishwa TAKUKURU. Alikuwa "Untouchable" kwenye Utawala wa Jiwe