TAKUKURU mnatumika vibaya ipo siku ukweli utajulikana. Mlitumiwa na wanasiasa wa CCM 'kum-harass' Deusdeth Kakoko ili mhalalishe mradi wa kifisadi

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7.

Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika pamoja na uwezo wa kudadavua mambo mengi.

Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba mbovu wa kifisafi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Kilichompata Mungu anajua.

Soma Deus Kakoko afikishwa TAKUKURU. Alikuwa "Untouchable" kwenye Utawala wa Jiwe
 
Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7.

Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika ndio maana na kudadavua mambo mengi.

Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba mbovu wa kifisafi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Kilichompata Mungu anajua.
Huna hoja ndugu, asijuwa manufaa ya mradi wa Bagamoyo ni mwehu tu
 
AMETUBALIKI ndyo nn???
Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7.

Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika ndio maana na kudadavua mambo mengi.

Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba mbovu wa kifisafi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Kilichompata Mungu anajua.
 
Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7.

Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika ndio maana na kudadavua mambo mengi.

Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba mbovu wa kifisafi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Kilichompata Mungu anajua.
Mlipokuwa mkipiga makofi Ccm kupora madaraka hamkujua kuwa ndivyo walivyo ?!. Wote wanafanana hata mwendazake naye hakuwa mzalendo kama unavyofikiri. Wote mapacha hao.

Usiri ulioko kwenye mikataba ndiyo chanzo cha kuchezewa na kila atakayekuja. Tena kwa katiba hii ya 1977 zoea tu. Kwani inammilikisha mkuu nchi na kufanya apendavyo. Kama ilivyokuwa ikifanyika Chato . Nani alihoji ?!
 
Kwa hiyo kilicho muondoa pale bandarini ni huo Mradi wa Bagamoyo, au ni ufisadi wake alio ufanya? Weka ushahidi basi badala tu ya kuwahukumu hao Takukuru kwa hoja nyepesi.

Halafu pia uache tabia yako ya kujibu wachangia mada jeuri! Sawa?
Nani alikujibu jeuri. Kama alifanya ufisadi mbona hawakumfikisha katika Court?
 
Mwamuzi mkuu ni katiba mpya
Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7.

Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika ndio maana na kudadavua mambo mengi.

Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba mbovu wa kifisafi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Kilichompata Mungu anajua.
 
Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7.

Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika ndio maana na kudadavua mambo mengi.

Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba mbovu wa kifisafi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Kilichompata Mungu anajua.
Kaka Kakoko alikuwa na matatizo mengi tu na mengine ya kimaadili hayawezi kuandikwa humu jukwaani.

Huyu Eric Hamis ameshaonyesha mwelekeo wa CEO anayetumia mbinu bora za kimenejimenti ambazo Kakoko hakuwa nazo.
 
Mpumbavu kama wewe nashangaa unachangia
 
Maisha yanakwenda kasi sana.

Miezi minne nyuma hawa wanaolalamika na kulialia humu walikuwa untouchable.

Now mambo yamegeuka kabisa wanavyopata tabu na kusononeka mioyoni mwao mpaka huruma.

MATAGA pambaneni tu na zooeni hii hali mpya.

Hakuna mnaloweza kufanya.
 
Wanasema usidharau watu sponsor ni binadamu tu anaweza kuzimika muda wowote ule.
 
Kaka Kakoko alikuwa na matatizo mengi tu na mengine ya kimaadili hayawezi kuandikwa humu jukwaani.

Huyu Eric Hamis ameshaonyesha mwelekeo wa CEO anayetumia mbinu bora za kimenejimenti ambazo Kakoko hakuwa nazo.
Mbinu hizo Ni pamoja na kuona kuwa mradi wa Bagamoyo hauna madhara?
 
Maisha yanakwenda kasi sana.

Miezi minne nyuma hawa wanaolalamika na kulialia humu walikuwa untouchable.

Now mambo yamegeuka kabisa wanavyopata tabu na kusononeka mioyoni mwao mpaka huruma.

MATAGA pambaneni tu na zooeni hii hali mpya.

Hakuna mnaloweza kufanya.
inawezekana mwezi mmoja tu baadae ikawa zamu yako.

usimsifu mbio baba yako,ukasahau kwamba anakimbizwa.
 
Mbinu hizo Ni pamoja na kuona kuwa mradi wa Bagamoyo hauna madhara?
Management bora ni ile jumuishi. Ndicho kinachoendelea TPA kwa sasa, uongozi uliopita ulikosa skills za kiuongozi.

Mradi wa Bagamoyo ni mpana sana na rais kasema tunaenda kujadiliana na hao wawekezaji hajasema kama tumeshakubaliana kipi kifanyike.
 
Back
Top Bottom