Mi nadhani ungepeleka ushahidi Takukuru kuliko kuandika humu ni kuzalilishana tu nachokiona, msigeuze JF ionekane kama ni kijiwe cha mtu kuandika mabaya na kutaja Majina ya watu tuwe tunapeleka hayo mambo idara husika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha watu wapaze sauti.mnaajiri mademu/ndugu zenu watu wanasota mtaani na vigezo wanavyo.Jiweke katika nafasi ya aliyetajwa hapo kwenye uzi, utajisikiaje unakuta mtu kakuandika hafu anelekeza mamlaka zikushughulikie kwanini ameshindwa kuwaandikia huko direct.
Sent using Jamii Forums mobile app
HIKI NI KIPINDI CHA UKWELI NA UWAZI.......Jiweke katika nafasi ya aliyetajwa hapo kwenye uzi, utajisikiaje unakuta mtu kakuandika hafu anelekeza mamlaka zikushughulikie kwanini ameshindwa kuwaandikia huko direct.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi mkuu. Kama ni uongo aende TAKUKURU au kwa CAG athibitishe kuwa ni uongo.Acha watu wapaze sauti zaoWacha kelelele...hapa wahusika wapo watalisoma na kulifanyia kazi.mnafanya ofisi za umma kama mali za mama zenu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa document nilizopewa ana sifa ya kuwa muhasibu siyo ile nafasi. aliyofanyiwa chepuo, mbaya zaidi mshahara uko nje ya viwango vya mishahara. vilivyoidhinishwa na BodiSwala lililopo afanye kazi kulingana na vyeti vayake Kama wanataka mtu wa CPA na MBA na hana sifa hizo basi ang'oke.
Mkuu issue hapa si mshahara mdogo bali ni ukiukwaji wa taratibu. kila taasisi ina taratibu na miongozo yake. Taratibu zilivunjwa ili kumpendelea mwana mama huyo. Kuna nini kimejificha hapo. Hiyo ndo hojaMshahara mdogo Sana huo mnaanza kulumbana lumbana humu Jf
Vipi mkuu ni kubwa au ndogo? Mimi nimeona kuana senior officers hapo wanakula 2.8mDah Maisha haya, una degree na CPA mshahara 2.8mil.. Itafika mahali vijana hawata ona umuhimu wa kusoma tena..
Kweli kabisaUkisikia kujiajiri ni kuzuri, ni kwa sababu ya mambo kama haya.
Makazini kuna wengine wanarogana, wengine wanakutakia ufe hata kesho.
Waliostaafu bila matatizo wana raha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa unakuta waliingia kazini wakiwa na vyeti vya form 6 na wamechelewa kujiendeleza sana kwenye taasisi za serikali haya mambo yapo sana mfano mwaka 2011-2012 Associate Professor vyuo vya serikali alikua analipwa 4-5m na hapo hadi unakua associate professor mtiti wake ni mkubwa sanaAIseeeeeeeeeeeee Phd ,Experience 18 yrs ,Salary < 2.8m??
Mkuu mbona povu linakutoka. hebu tusaidie kutupa ushahidi unaodai ni kweli kudhibitisha kuwa kilichosemwa ni uongo.. Au wapelekee TAKUKURU na ofisi ya CAG uwaambie au uwape ushahidi utakaothibitisha kuwa kilichosemwa ni uongo.Hii habri imejaa uwongo na wivu mkubwa kwa wahusika, salary scheme ya UCC ipo wazi kwa wafanyakzi wote, kuhusu Interview sioni tatizo maana kama ilifanyika maamuzi ni ya wajumbe na siyo ya mwenyekiti labda kdg kuhusu vyeti vyake lkn pia siyo lazima maana kama ana hiyon degree bado anastahili nafas.Kuwa na vyeti haimaanishi ndy kupewa uboss na wengine waolewe.Watz tuache wivu na masengenyo kwa wenzetu pindi wakifanikiwa
Watz
Mkuu msaidie uncle wako kwa kwenda kutoa ushahidi kuwa ni mwaminifu na mwadilifu. Kama ni mwadilifu kwa nini akiuke taratibu na miongozo ya kitaasisi ?Mbona mnataka kumuharibia kazi uncle wangu any way uncle kama ni kweli basi kunashida ila nakuamini sana sana kwenye uwadilifu.
Viache vyombo vya kiserikali vilifanyie kazi. Kama ni kashifa watajua tu walau sihofu mkuuUCC nayo mmeanza kuipa kashifa acheni hizo mambo aisee
Kama hujui kabla haijaqnzishwa TUME YA AJIRA maeneo mengi serikalini watu walikuwa wanabebana tu kwa kuajiri vijana wanaowafahamu, ndugu zao au jamaa zao nk, ni bahati mhaya tu vijana mlioanza kazi juzi hamkupitia mkapitia tume ya ajira mnazani mambo yalikuwa hivyo,Wacha watu wapaze sauti.mnaajiri mademu/ndugu zenu watu wanasota mtaani na vigezo wanavyo.
Sent using Jamii Forums mobile app