TAKUKURU na CAG fuatilieni hili la Mkurugenzi wa UCC

Salary za tanzania hazipo sawa kabisa,namjua dogo flani hivi fresh from Chuo kaanza kazi analipwa 5m.
 
Kama bandiko hili halitapitiwa na kufanyiwa kazi na wenye mamlaka by 16 Feb 2020 nione pm.
Hatuwezi kuvumilia huu uhuni.
 
Kama umeweza kuitaja au kuifaham TAKUKURU NA OFICE YA CAG kwanini hayo maelezo usingepereka huko badara ya kuja kutaja watu hum jf? Mi naona wewe umetumwa, kwa mtu aliesoma uzi huu kwa makini amefundua nia ya mtoa uzi nikuchafuana na kuharibiana cv, yawezekana ulienda takukuru na kwa CAG ukagonga mwamba umeamua kuja jf kuchafua watu! Ushauri wangu kila bosi anabosi wake mgepereka hilo jambo hta ktk bodi ya wakurugenzi km mmeshindwa au mmepuuzwa kule takukuru na kwa CAG.
 

Hebu angalia nilichokiandika na wewe ulichonitag nashindwa kukuelewa hapo unaniambia mimi au aliyeleta uzi?
 
Ukitaka kujua ukweli na uongo kwa mtu anaelalamika! Utamjua wakati wa kujieleza hawezi kuzungumzia issue husika tu. Huwa anaacha hoja anaanza kuokoteza maneno ambayo hayamo kwenye hoja. Unaposema mweupeee ana nyodooo mara kwenye meza ya Dr kumejaa wito nk hii nikutapatapa. Haya nimajungu. Ingekuwa kweli ungeifanya kimyakimya hata wao wasingejua. Ila mimi naona mlishafanya majungu yenu mkashindwa mmejipanga kuja jf kuwachafua hawa watu. Dr na nkwaya PIGENI KAZI HATOKI MTU.
 
Aisee wapare wanapenda sana chini.
Hapo Dr Minja kashamvua mtu chupi

Naaa ila acheni wivu bwana.
Mbona rais kampa joketi ukuu wa wilaya na hamjahoji au ni wivu tuuuu?

Na kingine.
Mbamuweka max melo kwenye wakati mgumu

Ile kesi ya kituo cha mafuta kuiibia serikali kodi haijaisha.
Mkaleta rushwa na ngono Mbeya hospitali.
Ya mbeya haijaisha mmeleta nondo zingine za UDSM kudadek.
Mutamuua maxi melo
 
Mleta mada acha wivu wa kike tena wa tandika. Hivi lini tz tutaacha haya mambo?
 
Hebu angalia nilichokiandika na wewe ulichonitag nashindwa kukuelewa hapo unaniambia mimi au aliyeleta uzi?
Sasa wewe unavyomwambia km bandiko hilo halitafanyiwa kazi ifikapo febr 2020 aku pm hayo yote nimajungu, km unahusika nauzuri ofice zte anazijua mwelekeze achukue hatua hata leo, nyie mmebaki kutishatisha watu eti aku pm! CAG na takukuru nivyombo vya serikari havifanyii kazi mambo ya mtandao na Dr pamoja na nkwaya kuweni makini mnaweza kufuatwa na MATAPERI wakifatiria issue hii ya jf wakisema ndo chanzo, wakija fungia ndani ita police. Huu uzi unaweza kuwa chanzo cha utaperi. Xmas hii.
 
1. Mama atakua mnoko
2. Mama atakya na maendeleo kuzidi wenzake huku wenzake wakidhanu ni hiyi 3.7m
3.Mama amechuku bwana wa mtu
 

Haha hahaha hahaha hahaha !!!! Amemwaga Mboga Mnamwaga Ugali ? 😀 😀 😀 😀 😀
 
Hii ni hatar zaidi ya sn nadhani @NAOT na @TAKUKURU wataipata hii na wataifanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hakuna mahali nilipoandika kuwa halitafanyiwa kazi hebu kasome vizuri nilichokuwa naandika,
 
Hujitambui ww mambo km haya ni lazima yawekwe hadharani ili jamii itambue kwasabu hapa iliyokosewa ni jamii na co Takukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo UCC wamejaa Ishomile na huyu MD wao ni Mangi, nakuambia huyo mama lazima ataondoka tu.
Ishomile na ma -PHD wanalipwa < 2.8 ni bora nikalime zangu au nikaweke kijiwe cha kahawa pale Posta au nje ya Bunge Dodoma.
 
Hujitambui ww mambo km haya ni lazima yawekwe hadharani ili jamii itambue kwasabu hapa iliyokosewa ni jamii na co Takukuru

Sent using Jamii Forums mobile app

We kilaza sana, taasisi zipo ili kufanyia kazi matatizo yanayojitokeza katika taasisi za serikali, angekuwa na ushahidi naamini angepeleka katika hizo malamka lakini kwa kuwa anasema kapenyezewa naiona kama ni udaku tu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…