TAKUKURU na CAG fuatilieni hili la Mkurugenzi wa UCC

Prof Beda alijaza Ishomile lakini kiutendaji na kibiashara he was the best in that chair.
 
Salary za tanzania hazipo sawa kabisa,namjua dogo flani hivi fresh from Chuo kaanza kazi analipwa 5m.
Hio ni kwenye taasisi za serikali au? Maana kama ni private inawezekana kua kweli maana nilishawahi ona kazi ya Program Officer ubalozi wa Ireland mshahara ni 4.9m, pia ILO au UN Agencies kuna post zinaitwa NO-A, NO-B, NO-C na NO-D mishahara ina range kuanzia 6m-20m per month
 
We kilaza sana, taasisi zipo ili kufanyia kazi matatizo yanayojitokeza katika taasisi za serikali, angekuwa na ushahidi naamini angepeleka katika hizo malamka lakini kwa kuwa anasema kapenyezewa naiona kama ni udaku tu huu.
Una darasa gn mkuu mbn upeo wko mdg sn yn unamlaumu mwananchi kuisaidia serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kilaza sana, taasisi zipo ili kufanyia kazi matatizo yanayojitokeza katika taasisi za serikali, angekuwa na ushahidi naamini angepeleka katika hizo malamka lakini kwa kuwa anasema kapenyezewa naiona kama ni udaku tu huu.
Nadhani hapa ntakuwa nabshana na mtu asiyejua wajibu wake kwny serikali ngj nikae kmy liwe jibu zuri la mjinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok sawa, kwanza mimi siyo baba joseph. Lakini kama mnayajua uongozi wote wa juu hauwasikilozi nendeni Takukuru mkafungue jarada then uchunguze ufanyike wa kisheria nakila mtu umwache huru. Ila kwajisi nilivyosoma nimegundua yafuatayo 1.walishafuatiria ngazi za kisheria wa kakwama. 2.inaonekana huyu mama amewabana vizuri ktk fedha kwasababu haiwezekani iwe leo sio kipindi cha mchakato na kama walishindwa walitakiwa wanyamaze au waandike barua ya kuacha kazi. 3.Mtoa uzi na wachangiaji wengi wa uzi huu nikikundi kilekile cha majungu. Mwisho nikwamba ingekuwa kweli Bodi yawakurugenzi ingekuwa imechukua hatua haiwezekani kikundi chao ndo kiwe nahakiri kuliko bodi nzima ya wakurugenzi.
 
Binafsi mkuu sio serikalini.
 
Mshahara wa mtu niujanja wakuniogosheti nasio cv. Maana kwenye private sector wanaangalia uwezo wamtu cv mzee nimakaratasi.
Jamaa ni Fresh From CHuo yaani sehemu aliyoenda kupiga ndio alikuwa anajifunza na ndio kazi yake ya kwanza na analipwa 5m na point point Net.
 
Jamaa ni Fresh From CHuo yaani sehemu aliyoenda kupiga ndio alikuwa anajifunza na ndio kazi yake ya kwanza na analipwa 5m na point point Net.
Alijua namna ya kujieleza na msimamo wakudai malipo maana wengine ukiulizwa anadhani mshahara utahitaji kiasi gani unasema wowote! Hafu mnabaki kuchungulia na kufungua salary slip za wenzenu nakuanza kupika majungu km haya ooh anatoka na bosi ooh mweupe oooh anainyeee ooh ananyodo. Kama kunawakati muhimu ktk kazi nikujua masrahi yako be4 na kujiamini kudai kile unachoamini kitakufanya uipende kazi yako. Nyie mnaopiga kelele mliliwa siku yakuulizwa mshahara wengine hata hawaulizi anadubiri mwisho wa mwezi .ndo kundi hili lawapika majungu.
 
Hii inaitwa second hand information, umeambiwa na ww unatuambia, swali, Takukuru wakikuambia uthibitishe hii taarifa upo tayari ?? Takukuru wanafanya kazi scientifically , mtoa taarifa ndie anaeithibitishia, upo tayari ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…