Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 639
- 1,919
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Takukuru kila siku tuhuma za Ole Sabaya zinazidi kuongezeka na ndio maana bado anashikiliwa na Takukuru.
Sabaya na wenzake saba ambao alikuwa akishirikiana nao wanashikiliwa na Takukuru, Tuhuma zao nyingi ni za jinai.
Kila siku Uchunguzi unavyoendelea ndio mambo mengi ya tuhuma yanaongezeka na mengi ni jinai.
Wakati ukifika DPP atashauri nini kifanyike kuhusu Sabaya kutokana na Tuhuma ambazo kila kukicha zinaongezeka na nyingi ni jinai.