TAKUKURU: Tuhuma dhidi ya Ole Sabaya zinaibuka mpya kila siku kadri uchunguzi unavyoendelea

Hapo ndipo tujue kuwa Sabaya ulikuwa ni mtambo mwovu uliokuwa unazalisha maovu kila siku enzi za utawala wake.
 
Hivi Babu Seya alifungwaje vile. Binadamu ni wabaya wanaweza kununua mpaka minor wakutolee ushahidi wa uongo. Yaani Sabaya alale na wanawake 40 na wote watokee kutoa ushahidi?!
Sawa lakini tuendelee
Hii tuhuma ya ubakaji hata mimi niliambiwa..tena wakati bado ana mamlaka...ilikuwa akienda club usiku anapora anayemtaka
 
Sasa wakati anafanya jinai zote hizo vyombo vilikuwa wapi?
Wewe mtoto pendwa wa mwendazake nani amguse enzi hizo ? Kuna hela kaficha kwa Jokate , takukuru mpo humu zifuateni Ni hela zilizoporwa kwa wafanyabiashara .
Screenshot_20210604-135035.png
 
Hivi Babu Seya alifungwaje vile. Binadamu ni wabaya wanaweza kununua mpaka minor wakutolee ushahidi wa uongo. Yaani Sabaya alale na wanawake 40 na wote watokee kutoa ushahidi?!
Sawa lakini tuendelee
Babu Seya alifungwa watu walimiss muziki wake wakawa wanaomba kila siku afunguliwe,sasa kwa Sabaya sijui watamiss nini
 
Wakati Lema anamuonya Sabaya mimi sikuwepo, naomba mazungumzo yao ya simu yarudiwe, yarudiwe, mazungumzo yarudiwe!!!!
 
Hivi Babu Seya alifungwaje vile. Binadamu ni wabaya wanaweza kununua mpaka minor wakutolee ushahidi wa uongo. Yaani Sabaya alale na wanawake 40 na wote watokee kutoa ushahidi?!
Sawa lakini tuendelee
Ndg Kama humjui huyo dogo kaa kimya.
 
Hivi Babu Seya alifungwaje vile. Binadamu ni wabaya wanaweza kununua mpaka minor wakutolee ushahidi wa uongo. Yaani Sabaya alale na wanawake 40 na wote watokee kutoa ushahidi?!
Sawa lakini tuendelee
Mkuu usimfananishe babu seya aliyeharibu vitukuu na huyu ambae alikuwa anatembea na watu wazima,wale watoto wameathirika hadi kesho, si unakumbuka utetezi wa babu seya aliposema jongoo hapandi mtungi? baada ya kutoka jela alikuja kuoa mkuu wa wilaya. Watu w Sinza mapambano ndio wanajua aliyokuwa anayafanya babu seya na ndio waliopeleka kukamatwa kwake.
 
Nianze kwa kuwapa Hongera kwa kumfikisha Mahakamani the once thought to be untouchable, Lengai Ole Sabaya. Hongereni kwa hilo.
Moja ya tuhuma zinazosemwa ni uporaji wa fedha za Wafanyabishara, wawekezaji,etc. Fedha hizi amezitumia kwingi, kwa wasiokuwa na fununu nazo na kwa wenye fununu nazo.

Nichukue fursa hii kuwaomba sasa kuwahoji baadhi ya Wanufaika wa udhalimu huu wa Sabaya. Na ningeomba Uchunguzi uanze na Clouds Media kwani wamepokea Fedha kumsafisha huyu jamaa huku wakijua kwa mshahara wa DC hana uwezo wa kulipia dakika 2 kwenye tv. Walijua kuwa DC huyu alikuwa anatuhumiwa na watu na taasisi mbalimbali, ila wakawa tayari kupokea fedha na kumsafisha, badala ya wao kuwa sehemu ambayo ingesaidia uchunguzi.
Kwakuwa nao wamepokea matunda ya uhalifu, nawaomba ndugu zangu muingie mzigoni kuchunguza makosa ya Utakatishaji fedha haramu!

Asanteni,

Wenu katika Unoko,

Mwananzengo!
 
WAZO zuri Raia Wema tupo kuisaidia Taasisi kuwapa Ushaidi
 
Radio nyingine za ajabau sn mtu ana tuhuma kibao eti mnamwitw aje ajitete udhalimu wake, clouds imepoteza heshima yake hata kama ni njaa pesa nyingine ni haramu
 
Back
Top Bottom