TAKUKURU: Tuhuma dhidi ya Ole Sabaya zinaibuka mpya kila siku kadri uchunguzi unavyoendelea

TAKUKURU: Tuhuma dhidi ya Ole Sabaya zinaibuka mpya kila siku kadri uchunguzi unavyoendelea

Bila shaka umechangia kwa utani. Eti nini? Unajua alikuwa amepora kiasi gani wewe? Hii media za kibongo hasa Clouds au Wasafi si ni takataka kabisa hizi.

Clouds tunayoizungumzia mtaani ni ndogo kuliko Clouds halisi.

Tafuta watu wanaoifahamu vizuri utajua kwamba ni entity kubwa sana.
 
Hawa macorrupt wanapesa na mali nyingi Sana kuliko vipato vyao
 
sikuwa naelewe kumbe yale mahojiano yaliyo kuwa yanaendeshwa na PJ, Kija Yunusu na Sam Sasali yaliandaliwa kumsafisha?
 
Mwenye uwezo wa kulipia dakika 2 kwenye kipindi anakuwa ana alama gani.

Ni kazi ya nani kutambua fulani ana hela za wizi au sio za wizi.

Clouds ingejuaje kama Sabaya kaiba hela ili isimuite.

Lini imekuwa marufuku kuendesha kipindi na raia tena Mkuu wa Wilaya kipindi kile ambaye 'inasemekana' ni mwizi.

Utaenda kuishtaki CMG kwa kosa gani hapo. Kwahiyo ukimkaribisha watu kama Manji, Lugumi na Makonda napo utachunguzwa.
 
Ignorantia Juris Non Excusant! Due diligence ulifanya? Au unadhani nchi inaenda kiholela? Uliwahi kufahamu kitu kinaitwa proceeds of Crimes?

Tunywe mtori nyama zipo chini, kuwa Mpole!
 
Back
Top Bottom