Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Unafique wa JoWeka source Tafadhali!
Hii ya uchumba wa Ole na Kidoti ndio imenivuruga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafique wa JoWeka source Tafadhali!
Hii ya uchumba wa Ole na Kidoti ndio imenivuruga!
Michezo ya kikwete hiyo ya kucheza kwenye tope uku unatimua vumbi.Hivi Babu Seya alifungwaje vile. Binadamu ni wabaya wanaweza kununua mpaka minor wakutolee ushahidi wa uongo. Yaani Sabaya alale na wanawake 40 na wote watokee kutoa ushahidi?!
Sawa lakini tuendelee
Hahahaaaa....... Jojo ana jambo lake December!Unafique wa Jo
Jambo ndio lilikuwa kwa Ole Sabaya auHahahaaaa....... Jojo ana jambo lake December!
MaCCM kwa kujifanya hamnazo, vyombo vilikua vinasema mitano tena na milele.Sasa wakati anafanya jinai zote hizo vyombo vilikuwa wapi?