Uyu ndugu atatumika tu watu kulipa kisasi Chao kwa kua aliwajibika na kuziba mianya ya janja janja uko kaskazini.haiingii akilini DC akabeba bunduki kwenda kufanya ujambazi ,kulawiti wanawake 40 sijui , Ila nguvu ya wafanya biashara watakua wameungana kumteketeza uyu kijana baada ya kubanwa ipasavyo.Hii ndo tunaita Ana bahati mbaya