TAKUKURU tunaomba Msaada: Kijana huyu alipata ajira Serikalini lakini akaporwa kituo cha kazi na kupewa mwingine

Status
Not open for further replies.
Mimi siyo mhuska ila nsmpambambania kijana
 
Nafikiri wajibu barua Utumishi waliokupangia kituo
Uwaeleze yaliyotokea na uambatanishe hizo barua...waombe walishughulikie
Na mawasiliano yako weka pia
Hakikisha umepeleka mwenyewe masijala

na hilo suala uachane nalo tu maana haya mambo bwn
Huwezi jua

ila poleh sana
 
Sio kujichanganya, hiyo ndio 'monde oparenda' ya mfumo wa ajira Tanzania, watoto wa wakubwa na wa matajiri ndio hupewa ajira, wengine huitwa kutimiza idadi ya usaili.
 
Usikate tamaa, Nafasi ni yako au wakupeleke sehemu nyingine. Ila mchengerwa na yeye kazingua Ina maana yeye kama waziri kashindwa ku solve Hilo tatizo inaonyesha kukosa seriousness Hadi walio chini yake hawamweshimu.
Sure kabisa Huyo mchengerwa ndio amezingua Sana yaani waziri mzima unakuwa kibogoyo.

Usikute ana maslahi na hio ajira .
 
Maelezo yako ni uongo. Walioko kwenye data base huunganishwa na taasisi iliotangaza nafasi, wakiridhia interview haiitishwi.
 
Alicho andika hapo ndicho alichojibiwa
 
𝐓𝐨𝐚 𝐭𝐚𝐚𝐫𝐢𝐟𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐨𝐝𝐞𝐫𝐚𝐭𝐨𝐫 𝐦𝐤𝐮𝐮.

𝐮𝐭𝐚𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐦𝐬𝐚𝐚𝐝𝐚 𝐡𝐚𝐫𝐚𝐤𝐚
 
kama bado hujarudi na upo dodoma na una vielelezo vyote muhimu nicheki pm nikuunganishe na katibu mkuu kiongozi ni bro wangu atakusaidia, ila kama ni story tu plz ziishie hpa
 
Hapo kuna mawili, either hiyo nafasi kapewa kada wa ccm au mtoto wa kigogo flani serikalini.

Na ndio maana unaona mpaka waziri anasuasua kutoa mwongozo!

Pambana! Kama waziri kashindwa mfwate PM Majaliwa! Na yeye akishindwa beba bango nenda nalo pale ikulu au mngojee mama aje mkoa wako uende na bango lako!!

NB: hizo nyaraka zako hakikisha ume ziscan na kuzi save kama backup online(kwenye email au kwenye google drive au kwenye simu) maana huwezi jua unaweza amka ukakuta hazipo!!
 
Dogo utumishi wa umma hautaki kiburi cha namna yako, naamini umeshaajiriwa na utapangiwa kituo kipya baada ya mkanganyiko uliotokea kumalizwa. Kwa aina yako ya kubwabwaja ovyo hakuna mwajiri yeyote atakeyependa kukuajiri, sio Serikalini tu hata huko private.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…