Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Nimesikitika sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida wasiwasi wa mleta mada kuachiwa manyoyaLakini amemsaidia vya kutosha...ilichotakiwa kwa jamaa ni kuvuta subita ili apangiwe kituo kingine cha kazi
Inafikirisha hiiDogo utumishi wa umma hautaki kiburi cha namna yako, naamini umeshaajiriwa na utapangiwa kituo kipya baada ya mkanganyiko uliotokea kumalizwa. Kwa aina yako ya kubwabwaja ovyo hakuna mwajiri yeyote atakeyependa kukuajiri, sio Serikalini tu hata huko private.
Ndugu yangu ajira za serikali huwa zinachukua muda..Kuna jamaa usaili alifanya mmwezi January mwaka Jana. Majibu ya usaili yalitoka Julai mwaka jana, kuanzia kazi ameanza mwezi huu.Nafikiri anahofia muda maana anasema hajapewa document yeyote ya yeye kusubiri
Umeongea point.Hana haki kwa kusema haki mkuu. Kwani ana mkataba tayari wa kuajiriwa kwamba alishaajiriwa??
Hata muajiri akisema sasa haajiri tena ameahirisha hakuna kitu anaweza akafanya hapo. Saa nyingine ni kuwa mpole na kuacha process ifanyike...
I agree with you Hilo swala why waziri awe na kigugumizi aliyewekwa atakuwa kada, au mwana wa kigogo so anaona Soni kuchukua hatuaSure kabisa Huyo mchengerwa ndio amezingua Sana yaani waziri mzima unakuwa kibogoyo.
Usikute ana maslahi na hio ajira .
Mkuu Liability pole kwa yote uliyopitia. Naomba usinipige mawe kwa nitayoandika hapa. Jambo lililokumba linaweza kabisa likawa ni kosa la kibinadamu tu na sio RUSHWA kama unavyodhani...
hujamwelewa anamaanisha hao ng'ombe wanaofanya kazi utumishi ni watu wa madili hawana maadili yoyote kazini.Kwa hiyo hana maadili kwa kuwa amelalamika kuona kama haki yake imeporwa? Amejitahidi amefuata taratibu zote tena kwa gharama zake na haoni msaada, afanyeje? Kwahiyo kuwa mtumishi wa umma ni kuwa kondoo?
Umeongea point hasa hapo kwenye MAADILI.Mkuu Liability pole kwa yote uliyopitia. Naomba usinipige mawe kwa nitayoandika hapa. Jambo lililokumba linaweza kabisa likawa ni kosa la kibinadamu tu na sio RUSHWA kama unavyodhan...
Nimkama umesoma vizur hametoa sababu kwann analilia haki yakeUmeongea point hasa hapo kwenye MAADILI.
Nadhan hata wewe utaona kuna wakati mainjinia wanadhalilishwa na viongozi wa kisiasa hasa mawaziri lakini utaona wanakaa kimyaaaaa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ndo unatakiwa umfate huyo jamaa mwenye Connection...Sio yeye "akuCheki"Nicheki private nikuunganishe na muhusika
Nimkama umesoma vizuri ametoa sababu kwann analilia haki yakeUmeongea point hasa hapo kwenye MAADILI.
Nadhan hata wewe utaona kuna wakati mainjinia wanadhalilishwa na viongozi wa kisiasa hasa mawaziri lakini utaona wanakaa kimyaaaaa...
daah! 🥺🥺🥺Mkuu Liability pole kwa yote uliyopitia. Naomba usinipige mawe kwa nitayoandika hapa. Jambo lililokumba linaweza kabisa likawa ni kosa la kibinadamu tu na sio RUSHWA kama unavyodhani...
Usikute dogo kapelekwa na kigogo hivyo kaona maji marefu usipime na kidole,
Nikikumbuka interview moja watu waliandika majina na kusaini kwamba walikuwepo lakini kesho yake jina la flani halipo kwamba hajahudhuria [emoji28], ilipigwa simu moja matata ikabidi warejeshe jina
Daa