TAKUKURU tunaomba Msaada: Kijana huyu alipata ajira Serikalini lakini akaporwa kituo cha kazi na kupewa mwingine

TAKUKURU tunaomba Msaada: Kijana huyu alipata ajira Serikalini lakini akaporwa kituo cha kazi na kupewa mwingine

Status
Not open for further replies.
Miaka ile ya mwendazake huu upuuzi haukuwepo.

Hiyo hela mnayopoteza mpeni dogo afanye ujasiriamali.

Zaidi ya hayo andika tu maumivu songa mbele.
Mwendazake alikuwa na mazuri yake.
 
Inaweza kutokea lakini haiwezekani.
Inabidi atafute kazi nyingine, PR yake amekwisha iharibu kwa kuweka kila kitu JF.
Lakini pia atueleze kwanini anang'ang'ania sana hiyo nafasi kiasi cha kufanya hadi Waziri asiyefahamu yaliyo chini huko kumsumbua sumbua kwa simu?
[/QUOTEYes nimeona jina lake Mimi mwenyewe now! Tukubaliane kupaza sauti siyo kuzalisha watu ila ni kutaka ufafanuzi.Na wale walio mtisha dogo kifo c vizr
 
Usikate tamaa, Nafasi ni yako au wakupeleke sehemu nyingine. Ila mchengerwa na yeye kazingua Ina maana yeye kama waziri kashindwa ku solve Hilo tatizo inaonyesha kukosa seriousness Hadi walio chini yake hawamweshimu.
Tayari kapangiwa leo
 
Hata huyu kijana ni mwoga tuu kama ninyi mnao onesha uoga . ndio maana baada ya Kuala nyaraka hizi niliamua kupost. Swala LA kifo anajua mungu mwenyew. Ukiua MTU hata were hutoishi milele
 
Kuna muda unapata tabu sana kuwaza kweli nchi hii ina viongozi? Hii ni dhulma kubwa sana, hebu fikiria kijana masikini anaongezewa umasikini tena watu hawajali kabisa.
Ndugu yangu rudi nyumbani ukiamini yupo Mungu na halali usingizi, maumivu yako yatalipiwa japo kwa uchungu mkubwa sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom