TAKUKURU yaingilia kati sakata la Makonda na GSM. GSM aliripoti hati ya kiwanja kupotea

GSM atakuwa alimuuzia makonda hili eneo kwa shinikizo-- na hata hiyo 120m itakuwa ni maandishi tu, hakuna cash illiyotoka, Sasa Bashite hana madaraka tena, na mkataba una mapungufu ya kisheria. Bashite kazi anayo.
 
Makonda kabaki yatima ,sponser wake kashaenda na maji.Sasa apambane na hali yake hana wa kumlilia.

Hili ni fundisho kwa vijana wengine wanaopewa madaraka na kuanza kuwavimbia watu hususani matajiri na viongozi wastaafu.

Bado huyo dogo Ally papi alitoa shits sana enzi za mwenda zake.
 
Punguza hasira tafuta hela
 
GSM ni mwanadamu pia ana udhaifu wake ila kwa historia yao ya ujanja janja kwa hili nakubaliana nawe, huu ni mchezo, na kile kiwanda chao Mwenge wakatia kiberiti kuzidi kuwadanganya wajinga.
Hawawezi washa kiwanda chao maana mapato yatapungua, ile ni bahati mbaya imetokea
 
tunataka atuoneshe malipo ya kiserikali na sio risiti

kama anadai aliuziwa kiwanja na kile kiwanja kilikuwa cha GSM bas atuoneshe transer alizofanya kutoka kwa GSM kwenda kwa Daudi Bashite

atuoneshe pia document alizokuwa akilipia kile kiwanja n.k
 
mbona hueleweki kaka! ebu pitia vizur bandiko lako

unatuambia katika mauziano GSM hakuweka sahihi

halafu uku chini unatuambia GSM aliweka sahihi za magumashi sasa hapo tuamini kitu gani?

halafu hayo mambo yapo kisheria zaidi kiongozi, kama kitu hakipo sawa kama nyie mkikwama sehemu watu wa sheria wanaweka sawa mlipo kwama

sasa ni vigum sana GSM asiweke sahihi halafu makonda aridhie , wanasheria waridhie pia

hiyo kitu haiko sawa mkuu weka vizuri bandiko lako
 
Namuona mtu akipinduliwapinduliwa mithili ya chips kwenye kikaangio
 
hakuna uhuni hapo! uyo bashite ndio kwikwi

kipindi alipokuwa madarakani tuliona kabisa nguvu aliyotumia katika kuwapora watu mali zao

nikukumbushe tu kama ni mfuatiliaji wa taarifa

kuna watu walitoa malalamiko yao kuhusu kuporwa magari yao na Bashite

na mpaka TRA waliweka wazi kadi ya zile gari ambazo Bashite aliwapora wale jamaa na hakukuwa hata na kadi moja ya gari iliyosoma jina la Paul Makonda

zile gari zote kadi za usajir zilisoma majina ya wale jamaa

kwa ufupi tu bashite alitumia vibaya madaraka yake kwa kudhurumu mali za watu

hata hao GSM waliporwa kwa nguvu na waliogopa kupigania haki yao kwakuwa jamaa alikuwa mtoto wa mfalme kwa nyakati hizo
 
Makonda alitakiwa kujifunza, ukiwa na mdomo unanuka, usifungue mdomo.... Utajaza nzi. Haya sasa PCCB hao mlangoni.
 

TAKUKURU chunguzeni bei ya hiyo plot na dhamani ya jengo lililopo kwenye hiyo plot ili mtueeze makonda alipata wapi kifurudhi hicho kikubwa cha fedha.​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…