Uchaguzi 2020 Takwimu hazidanganyi: CCM wameshashinda Uchaguzi kwa Idadi ya Kura za Kanda ya Ziwa

Ukweli ni kwamba CCM wanatumia dola na fedha nyingi kusomba watu kwenye mikutano. Pia wanalundika wasanii zaidi ya 4 kufanya umati mkubwa. Umati wa wapinzani ni ule wa wapenzi wa kweli waliolipia nauli yao au kutembea umbali mkubwa kuwasikiliza wapinzani. Hata katika mazingira huru kama JF, Twitter, FB, nk ndio utajua ukweli, wapinzani wapo mbele kwa angalau 70%.
 
Huyo anaenda kujibu mashitaka The Hague kwa nini aliwatishia wananchi wasipomchagua watakoma..nani amempa uhalali wa kushinda uchaguzi..Mr Holland naona nyaraka zinaenda kukamilika
 
Ngoja BAVICHA WAJE hahahaa HILI NALO WATALIPINGAA
 
Huyo anaenda kujibu mashitaka The Hague kwa nini aliwatishia wananchi wasipomchagua watakoma..nani amempa uhalali wa kushinda uchaguzi..Mr Holland naona nyaraka zinaenda kukamilika
Hahhaa unaweza kuwa na Undugu nabYule BWEGE mbunge Wa Lindi huko Mnatamaniiiiiiiiii Magu aachie ngazi mpumue
 
Kwenye hiyo takwimu yako umejumlisha na wale ambao wanakuja kwa ajili ya fiesta tu?
 
Hahhaa unaweza kuwa na Undugu nabYule BWEGE mbunge Wa Lindi huko Mnatamaniiiiiiiiii Magu aachie ngazi mpumue
Ongea hoja sio utopolo..alivyotishia wananchi ni sawa kwenye nchi ya demokrasia alafu utakuwa wakuja Bongo kama huyo mtu wenu
 
Wewe ni Mwongo umeona kilichotokea Nyehunge Na Sengerema mbajifarijiii sana shida yenu Geita kwa Msukuma hukoo anashindwaje kujubalikaa kwanza ushafika ukaona balaa LA Msukuma na Maendeleo we VIP bwana
 
Kwenye hiyo takwimu yako umejumlisha na wale ambao wanakuja kwa ajili ya fiesta tu?
Kuwa mwelewa umeambiwa Huwa Hawabadiliki kimsimamo hata kama wanaangalia kwenye Luninga wembe huwa in uleule Magu for prezoo
 
Wewe ni Mwongo umeona kilichotokea Nyehunge Na Sengerema mbajifarijiii sana shida yenu Geita kwa Msukuma hukoo anashindwaje kujubalikaa kwanza ushafika ukaona balaa LA Msukuma na Maendeleo we VIP bwana
Hivi geita kuna maendeleo gani kumepauka hivyo stendi ya geita ni kituko
 
Mwenzako kaleta takwimu,naww leta takwimu hapo tuone.
Tunasema"NAMBA HAZIDANGANYI"
Hahaha Hawanan Vitu Vyenye LOGIC Hawa BAVICHA wao wanakenda kwenda kama Punda Lissu kaja Mwanza Tena kwa Masaa akapata watu kama walijitokeza kwenye Mkutano Wa Silinde tunduma akaa Massa kaondoka kila Magu Mwanza tu kapiga mikutano 8 mpka sasa Halafu inakuja kimbulu inakuambia watashinda ovyo kabisa MAGU 5 Tena
 
Elewa point yangu mkuu ni kwamba ccm inapendwa ila magu hapendwi sana kivile so ubunge wanawapa ccm za urais wanagawana na akina rungwe na membe na lissu
Magu anapendwa kuliko CCM kumbuka mwaka 2015 kama siyo JPM sasa hivi CCM ingekuwa chama cha upinzani
 
Hivi geita kuna maendeleo gani kumepauka hivyo stendi ya geita ni kituko
Umeme mpka vijijini Barbara za Moram kama kwenda lwenzela huko Huduma za Afya kumbuka Geita in mkoa mpya unapangwa sasa ndio maana mnaambiwa maendeleo ni mipango hayaji tu ukishashika madaraka kama mnavowaza BAVICHA TULIA ivi hujui Luna Rami Kyle eeeh
 
Endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe, siyo kosa kosa lako, tatizo uchizi unaokunyemelea
Huyo anaenda kujibu mashitaka The Hague kwa nini aliwatishia wananchi wasipomchagua watakoma..nani amempa uhalali wa kushinda uchaguzi..Mr Holland naona nyaraka zinaenda kukamilika
 
Lisu nae aongee kinyaturu kwani nani kamzuia?
Twambieni leo mko wapi mbona kimya?
 
Tanzania tuna historia gani ya takwimu hadi useme ulichoandika ni takwimu.Hii nchi bado haina watu wengi hivyo wenye misimamo thabiti itakayokufanya uje na historia ata angalau ya mwaka mmoja achilia mitano.

Kuna watu hawakumbuki na wala hawajishughulishi kukumbuka 2015 wagombea waliongea kitu gani.Wengi wanaangalia ya leo na ikifika siku ya kura itategemea kaamkaje siku hiyo.

Kwahiyo ulichokiandika hakina tofauti na mtu aliyebeti kamari ya mpira kwa timu fulani kwakuangalia kiwango cha mechi zake za nyuma bila kujua lolote linaweza kutokea uwanjani.
 
Tena kwenye ile saccos, zinatafunwa hasa. Mpaka wanatembeza bakuli kwa wahudhuriaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…