Ukweli ni kwamba CCM wanatumia dola na fedha nyingi kusomba watu kwenye mikutano. Pia wanalundika wasanii zaidi ya 4 kufanya umati mkubwa. Umati wa wapinzani ni ule wa wapenzi wa kweli waliolipia nauli yao au kutembea umbali mkubwa kuwasikiliza wapinzani. Hata katika mazingira huru kama JF, Twitter, FB, nk ndio utajua ukweli, wapinzani wapo mbele kwa angalau 70%.Aise Kuna watu mna roho ngumu. Yaani hizo kura huyo Lissu anazitoa wapi, au haya ninayoyaona kwa TV nyie hamuyaoni. CCM pamoja na Mgombea wake kukubalika Nchi nzima, bado wamejipanga vizuri Mno ndani ya wiki moja tayari ni Kama wamefika Robo ya Inchi. CDM na viongozi wote mmelundikana sehemu moja tu.