Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Wana siasa walitakiwa wawaachie madaktari watoe matamko.
Kiongozi anatoa tamko kuku yupo kwenye panic mode..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi anatoa tamko kuku yupo kwenye panic mode..
Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.02 ya waliokufa kwa Corona wako chini ya 50yrs, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa na nini?
Sent using Jamii Forums mobile app