Takwimu: Mtu mwenye umri wa chini ya miaka 50 kufa kwa Corona ni sawa na jogoo kutaga mayai, sasa kwanini tunapanic?

Takwimu: Mtu mwenye umri wa chini ya miaka 50 kufa kwa Corona ni sawa na jogoo kutaga mayai, sasa kwanini tunapanic?

Wana siasa walitakiwa wawaachie madaktari watoe matamko.

Kiongozi anatoa tamko kuku yupo kwenye panic mode..

Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.02 ya waliokufa kwa Corona wako chini ya 50yrs, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa na nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungesoma hiyo habari hadi mwisho ungejua kuwa huyo kocha alikuwa ana kansa ya dam na muda hata hiyo corona inamkuta alikuwa mahututi..
Tena hiyo asilimia waloko chini ya 50 years ni wale ambao tayari wana magonjwa hatarishi kama kansa,wavutaji wa sigara kupindukia au wenye hali mbaya ya afya...
Kama nataka kukuelewa vile, Manake nahisi kila ugonjwa unaomkuta mtu, inategemea na Kinga za mwili wake zina uwezo gani wa kupamban na Magonjwa, Wengine wanaumwa Kichwa tu, au Marelia tu inamwondoa Duniani, Na hakunaga Ugonjwa wenye dawa hapa Duniani, isipokuwa magonjwa yote yana kipunguza makali tu, Sabab km kungekuw na Dawa zakuponya, Homa za mara kwa mara zisingekuwepo, ilitakiwa ukimeza dawa tu unapona mazima hauumwi tena,,, Na ndiyo maana hata wenye Ukimwi wanaendelea kuishi km waumwa Marelia na Bichwa vya mara kwa mara, ili mrad wanameza dawa, wasife.!!! KUFA NI KUTEGEMEA NA KINGA ZA MWILI WAKO ZINA NGUVU GANI YA KUPAMBANA NA MAGONJWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5B83BFF7-0B3E-48A0-BCE1-7094C09F9587.png
 
Exactly, natural selection and elimination are the tools of evolution, we become a stronger species by pruning the weak genomes from the gene pool
Na haizuiliki. We should let it run its course.

What doesn't kill you only makes you stronger. Body Immunity is strong evidence of that fact.
 
Magonjwa mengi yana dawa kasoro yanayosababishwa na virusi.
Kama nataka kukuelewa vile, Manake nahisi kila ugonjwa unaomkuta mtu, inategemea na Kinga za mwili wake zina uwezo gani wa kupamban na Magonjwa, Wengine wanaumwa Kichwa tu, au Marelia tu inamwondoa Duniani, Na hakunaga Ugonjwa wenye dawa hapa Duniani, isipokuwa magonjwa yote yana kipunguza makali tu, Sabab km kungekuw na Dawa zakuponya, Homa za mara kwa mara zisingekuwepo, ilitakiwa ukimeza dawa tu unapona mazima hauumwi tena,,, Na ndiyo maana hata wenye Ukimwi wanaendelea kuishi km waumwa Marelia na Bichwa vya mara kwa mara, ili mrad wanameza dawa, wasife.!!! KUFA NI KUTEGEMEA NA KINGA ZA MWILI WAKO ZINA NGUVU GANI YA KUPAMBANA NA MAGONJWA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka mingi mingapi babu zako waliishi?
Na Italy pia mkuu!
Huku kwetu kutoboa 60 kweli imekuwa shidah ma Babu zetu waliishi miaka mingi sana hii Dunia ina maharamia waona wafanya maisha yetu pengine yawe mafupi!
Maana sio nidham ya kula tu inayo fupisha masha yetu!!!
Jamii ambayo haina wazee ni rahisi sana kuyumbishwa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili hizi wengi hawana,wanajifikiria wao tu.
Hawafikirii hawa wazee na wenye matatizo makubwa sugu ya afya.
Iko hivi Niko chini ya miaka 50 lazima nipanic, kwa sababu nimezungukwa na baba na Mama Nina wajomba Nina majirani wenye umri mkubwa tunaoshirikiana nao Sasa nikipata Mimi it means ntawaambukiza hao! Mbona ni simple logic sana! Au nyiye huko kwenu wote ni chini ya miaka 50! Yaani hongera sana kuzungukwa na vijana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Actually hili ni janga hatukatai ila wengi wasiokuwa na uelewa wa kutosha wanalikuza sana kuliko kawaida, sasahivi wapo wagonjwa 3, Je wakibainika 100 unadhani hali itakuwa vp?

Asilimia kubwa ya watu ni waoga, mtu unakuwa na hofu kanakwamba tatizo ni sawa na risasi ikikupata mara moja ndo umeisha.

Ebu punguzeni jazba wakuu, unakutana na mtu kavaa mask una muuliza wewe mgonjwa anajibu hapana, sasa sababu ya kuvaa mask ni nini anaanza story za uogauoga.

Ni vema kuwa na tahadhari ila siyo kuwa na hofu kupitiliza, pia kwa wale wasiopenda kusoma, huu muda acheni kusubiri uletewe taarifa, ingia mtandaoni search taarifa muhimu unayotaka kujua kuhusu hili tatizo kutoka kwa wataalamu, bro unamiliki smartphone halafu taarifa zote kuhusu corona unatoa facebook na instagram?

Nadhan kitakachotuathiri sana siyo ugonjwa huu ila hofu pamoja na uelewa mdogo ambao wengi wanao.

Watanzania tuache uoga, chukua tahadhari za msingi na jiamini na pia usiwe mtu wa kukurupuka tu na taharifa zako kutoka facebook huko na instagram.

Ebu tujaribu kuwa watulivu, kama mnaogopa kufa kwan nani ataishi milele hapa duniani? Everything happen for the purposes, tulia, mshukuru Mungu kwa pumzi aliyokupa leo na kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom