Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Bila shaka hapa ulikua unafoka mate yanakuchuruzika
 
We Mzee Hujaacha Ubishi Na Wachezaji Wako Wa Tia Maji Tia Maji.[emoji23]
Huu uzi ulikuwa unazungukzia nyakati ambazo Kibu anafanya vizuri kuliko Mayele

Lakini watu wamesubiri mpaka mwaka upite ndio waanze kunisuta
 
Huu uzi ulikuwa unazungukzia nyakati ambazo Kibu anafanya vizuri kuliko Mayele

Lakini watu wamesubiri mpaka mwaka upite ndio waanze kunisuta
Mlisema mafuta yame anza kujitenga na maji sasa bado mnahuo msimamo?
 
Mlisema mafuta yame anza kujitenga na maji sasa bado mnahuo msimamo?
Tunatoa statistic kulingana na current perfomance ilivyo na ndio maana huu uzi sio wa leo

Kibu hapitii nyakati nzuri na hilo linafahamika sasa kuhoji swali hilo ni some sort of ridiculous
 
Tunatoa statistic kulingana na current perfomance ilivyo na ndio maana huu uzi sio wa leo

Kibu hapitii nyakati nzuri na hilo linafahamika sasa kuhoji swali hilo ni some sort of ridiculous
Bahati nzuri nisha kuzoea una wewe na Genta tofauti ni ndogo sana
 
Mpaka muda huu matokeo yaliyopatikana ni haya hapa:-

Kibu D aka Kibudenga magoli 0

Mayele Kalala Fiston magoli 8.

Hivyo naomba kuchukua nafasi hii kumpa tu Kibu Denis aka Kibudenga ushindi wa mezani. Maana nguvu na uwezo wa kushindana na Fiston Mayele, kwakweli hana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…