Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Alikandwa kwa sababu alizidiwa uwezo, full stop!

Kama Rivers alibahatisha, basi hata hawa waliomfunga Wydad jana nao walibahatisha.

Haya turudi kwenye takwimu za Kibu Vs Mayele!
Uwezo gani?

We mwenyewe ulikuwa unaangali mechi ya leo, umeona uwezo gani pale?
 
Ndio, kumfunga Wydad sio big deal. Simba wamemfunga, na hata Rivers pia walimfunga.

Mnatutambia kwamba nyinyi ni wababe kwakua mmemfunga Wydad, ndio maana nawakumbusha hata Rivers walimfunga Wydad.

Hebu turudi kwenye takwimu za Kibu Vs Mayele!
 
Uwezo gani?

We mwenyewe ulikuwa unaangali mechi ya leo, umeona uwezo gani pale?
Uwezo wao huohuo ulitosha kumfunga Wydad 2-1. Haikua mechi ya siri, ilichezwa hadharani!

Mini nadhani kilichotokea kati ya Rivers na Wydad, ndicho kilichotokea kati ya Simba na Wydad. Sasa amua wewe, ni bahati au uwezo?
 
Ina maana Wydad walicheza kiwango kilichozidiwa na Rivers na bado hutaki kubadilisha kauli kuwa ile ni game ambayo Wydad hakuamua?

Hawa hata msingefunga, wangejifunga tu
 
Ndio, kumfunga Wydad sio big deal. Simba wamemfunga, na hata Rivers pia walimfunga.

Mnatutambia kwamba nyinyi ni wababe kwakua mmemfunga Wydad, ndio maana nawakumbusha hata Rivers walimfunga Wydad.

Hebu turudi kwenye takwimu za Kibu Vs Mayele!
Kwa mantiki hiyo sisi ni wababe kuliko maana tumemfunga pia Yanga iliyomfunga TP Mazembe, Monastir, Bamako na Rivers.
 
Pale mod wanapokuwa wana lunyasi
 
Usiishie kwa Rivers, malizia na kwa Simba kwamba Wydad hawakuamua!

Hapo tutakubaliana!
Simba ndio haikuamua, na ndio maana mashabiki wanawasiwasi kwasababu ya zile nafasi za wazi ambazo tulikosa magoli.
 
Nakupa demo kwanza

Ahmed Reda Tagnaouti

DF: Yahia Attiat Allah

Yahya Jabrane

Halafu hapo ukumbuke kocha wa Morocco alikuwa ni Walid Regragui ambaye ni former coach wa Wydad

Hapo ni kwa uchache tu sijataka kujaza server
Nimekwambia wanne kati ya hao 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…