Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Alikandwa kwa sababu alizidiwa uwezo, full stop!

Kama Rivers alibahatisha, basi hata hawa waliomfunga Wydad jana nao walibahatisha.

Haya turudi kwenye takwimu za Kibu Vs Mayele!
Uwezo gani?

We mwenyewe ulikuwa unaangali mechi ya leo, umeona uwezo gani pale?
 
Wewe si ndiyo umesema "Itoshe kusema kwamba, kucheza na Wydad sio big deal", au nimekufananisha? Sasa kiongozi wako anapoitaja Wydad tena bila kuulizwa kuwa ni kipimo cha ubora anakosea?

Na hii tabia ya kulinganisha matokeo tulishawaonya muiache hamsikii tu.
Ndio, kumfunga Wydad sio big deal. Simba wamemfunga, na hata Rivers pia walimfunga.

Mnatutambia kwamba nyinyi ni wababe kwakua mmemfunga Wydad, ndio maana nawakumbusha hata Rivers walimfunga Wydad.

Hebu turudi kwenye takwimu za Kibu Vs Mayele!
 
Uwezo gani?

We mwenyewe ulikuwa unaangali mechi ya leo, umeona uwezo gani pale?
Uwezo wao huohuo ulitosha kumfunga Wydad 2-1. Haikua mechi ya siri, ilichezwa hadharani!

Mini nadhani kilichotokea kati ya Rivers na Wydad, ndicho kilichotokea kati ya Simba na Wydad. Sasa amua wewe, ni bahati au uwezo?
 
Ina maana Wydad walicheza kiwango kilichozidiwa na Rivers na bado hutaki kubadilisha kauli kuwa ile ni game ambayo Wydad hakuamua?

Hawa hata msingefunga, wangejifunga tu
 
Ndio, kumfunga Wydad sio big deal. Simba wamemfunga, na hata Rivers pia walimfunga.

Mnatutambia kwamba nyinyi ni wababe kwakua mmemfunga Wydad, ndio maana nawakumbusha hata Rivers walimfunga Wydad.

Hebu turudi kwenye takwimu za Kibu Vs Mayele!
Kwa mantiki hiyo sisi ni wababe kuliko maana tumemfunga pia Yanga iliyomfunga TP Mazembe, Monastir, Bamako na Rivers.
 
Active Mhariri Paw Moderator Mhariri Maxence Melo Boqin Cookie , inakuwa vipi mnafanya hujuma katika uzi huu na kubadilisha heading iliyodumu takribani mwaka mzima na kufuta post humu ?

Je uhuru wa maoni uko wapi wakati hatujaandika matusi wala kumshambulia mtu isipokuwa takwimu tu ?

Turudishieni heading yetu neno "Zingatia uchungu "liwepo maana huku ni kuondoa uhalisia la sivyo tutaamini kuwa hata mods mnapewa bahasha ..
Pale mod wanapokuwa wana lunyasi
 
Usiishie kwa Rivers, malizia na kwa Simba kwamba Wydad hawakuamua!

Hapo tutakubaliana!
Simba ndio haikuamua, na ndio maana mashabiki wanawasiwasi kwasababu ya zile nafasi za wazi ambazo tulikosa magoli.
 
Nakupa demo kwanza

Ahmed Reda Tagnaouti

DF: Yahia Attiat Allah

Yahya Jabrane

Halafu hapo ukumbuke kocha wa Morocco alikuwa ni Walid Regragui ambaye ni former coach wa Wydad

Hapo ni kwa uchache tu sijataka kujaza server
Nimekwambia wanne kati ya hao 8
 
Back
Top Bottom