Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Kumbe mods mnatunza risiti ,nimekumbuka na najutia maamuzi yangu.

Nisamehe sana wakereketwa wa uzi huu mimi nilisema kiutani ili mods wafiche aibu ya mleta uzi sikujua kuwa litachukuliwa siriazi hili swala.
Hii timu ina walevi wengi
 
Kumbe mods mnatunza risiti ,nimekumbuka na najutia maamuzi yangu.

Nisamehe sana wakereketwa wa uzi huu mimi nilisema kiutani ili mods wafiche aibu ya mleta uzi sikujua kuwa litachukuliwa siriazi hili swala.
Khaaaaaah wee tenaaaa??
 
Kuna ombi jingine ,kama inawezekana tunaomba huu uzi uwe sticky thread pale juu kwa vizazi vijao kukumbuka umuhimu wa Takwimu, tuko radhi hata uzi wa Arsenyanus ufutwe maana wametelekeza jukwaa lao .
We ebu acha ulimbukeni kwa vitu vidogo afu vya kipuuzi.

Simba imemfunga Bingwa mtetezi wa Club Bingwa na mitaa ina amani

Simba ilishinda goli 7, kwenye hizo 7 na hattrick ikiwemo na hakukuwa na usumbufu kwa mods.
 
Hizi ni hatua za mtoano sio kufungana zingatia hilo
 
We ebu acha ulimbukeni kwa vitu vidogo afu vya kipuuzi.

Simba imemfunga Bingwa mtetezi wa Club Bingwa na mitaa ina amani

Simba ilishinda goli 7, kwenye hizo 7 na hattrick ikiwemo na hakukuwa na usumbufu kwa mods.
Mitaa ina amani kwa sababu inajua kinachoenda kuwakuta uarabuni.

Ukikutana na kibonde, hata tisa unafunga tu. Shida ni kumfunga nyingi mbabe.

Naunga mkono wazo la kuuweka huu uzi kua sticky. Ni jambo jema kabisa. Vizazi vijavyo vitajifunza mengi kupitia huu uzi.
 
Back
Top Bottom