Takwimu za Yanga msimu uliopita Round ya kwanza

Takwimu za Yanga msimu uliopita Round ya kwanza

Uaha
Za down down,naskia Muddy kabla huu mwaka hujapinduka anaachia timu mazima,mnamtia hasara hakuna anachopata na hela zenyewe sio zake ni za familia,asa wachezaji watalipwa na nani na Hans Pope kasha die[emoji1787]
u.gsm.anaachia ngazi.mtalipana matikiti
 
Yanga hawana tawi kwa sasa
Hebu tuambie wale Namungo wanaodhaminiwa GSM hebu toa maelezo hapo. Zile pesa zilizokuwa zinatolewa na GSM kuwavunja miguu wachezaji wa simba walipewa timu gani kweli!?
 
Utopolo bhana eti wanaicheka simba huku wakiwa wameizidi point mbili tu.Hakika utopolo ni utopolo.
 
Hebu tuambie wale Namungo wanaodhaminiwa GSM hebu toa maelezo hapo. Zile pesa zilizokuwa zinatolewa na GSM kuwavunja miguu wachezaji wa simba walipewa timu gani kweli!?
Tupe kwanza uthibitisho kuwa waliotoa pesa ni GSM
 
Hawa yanga aka UTOPOLO tulishawazoea na kelele zao za mwanzo wa ligi.

Ndio muda wao wa kufurahi na kupiga kelele. Hii ni kawaida ya chura kuzomea kupiga kelele ili Mnyama wasiweze kunywa maji.

Kweli tabia ya chura imewaingia vizuri washabiki wa UTOPOLO.

Hii hapa ni takwimu za list season round 1.
View attachment 1993427

Wanasimba wenzagu walamsiwasikilize hawa vyura ndio tabia yao ya kupiga kelele. Sisi tuendelee kushikamana wao waendelee kupiga kelele.
Endeleeni kuhangaika na takwimu wakati sie tukiwa serious na maandalizi ya mechi zetu..Halafu mkishushiwa vitu vizito tena kwenye mechi zenu muanze kuitana wasaliti na kufukuza makocha.... shubaaaaaaaamit
 
Nimesoma majibu ya mleta mada!

Nimejiridhisha pasi na shaka yoyote kuwa mnabishana na nincompoop asiyejua mpira.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpira mpaka muende kwa kina Mzee Mpili ndio mcheze.
Kwani ni mara ya kwanza kuifunga simba!? Sisi tunachukua makombe makubwa makubwa nyie ni wasindikizaji wetu.

Mechi mlizocheza ni 4 tu bado 26. Magoli mliyofunga ni sita tu.
Sisi leo ndio tunaanza sasa tuna piga mtu goli 10.
Hongera sana kwa ushindi wa goli kumi mkuu
 
Back
Top Bottom