Takwimu za Yanga msimu uliopita Round ya kwanza

huyu jamaa kakimbilia wapi[emoji38][emoji38]
Jamaa gani?
official_tumbi-20230417-0001.jpg
 
We mwenyewe si unaona lakini
Inategemea naona nini au ww unataka nione nini.

Maana kufungwa kwenye derby sio kipimo Cha udhaifu wa timu nyingine. Kipindi mnachukua miaka 4 mfululizo, nadhani ulikuwa unaona derby zilivyokuwa ngumu kwenu.

Mmetufunga sisi, lakini utashangaa unaenda kupoteza mechi na timu ndogo kwenye ligi. Yanga hatujapoteana mkuu 😅😅
 
Baada ya Ally Kamwe kusema jumapili wao hawachezi Derby bali wanakuja kutukanda, Haji Manara kamdhihaki Ally Kamwe.

Punguzeni porilai mtadhalilika
 
Back
Top Bottom