Takwimu za Yanga msimu uliopita Round ya kwanza

Tofauti ipo kubwa sana, msimu uliopita. tukianza na wachezaji ni kwamba kulikuwa na wachezaji walio na kiwango bora lakini pia kulikuwa na rundo la wachezaji wasiokuwa na ubora.
Kaseke
Adeyuni
Mukoko
Nchimbi
Farid musa
Mauya

Hawa ndio walikuwa miongoni mwa wachezaji wanaotegemewa kwenye kikosi cha Yanga kupata matokeo au kubadilisha mchezo, lakini hao wote wamekuwa wasuguaji wa benchi kwa sasa hadi Mukoko ambaye aliimbwa sana msimu uliopita hivyo unaona ni quality ya wachezaji waliosajiliwa na Yanga.

La pili ni performance ya timu. Kwa misimu kadhaa iliyopita performance inaoneshwa na Yanga kwenye mchezo wa wiki ya wananchi haitotokea tena kuonekana kiwango kama kile katika mechi yoyote ile ya Yanga lakini saivi unaona utofauti. Yanga wanaonesha kuimarika mechi hadi mechi hivyo kadri siku inavyoenda timu inakuwa imara angalia aina ya mpira unaochezwa na Yanga siku hadi siku wanazidi kubadilika, anzia kwa soka waliochezewa Simba mpaka kufikia jana kwa Azam.

Tatu ni kwamba Yanga walikuwa wanafeli kwa kutokuwa na wachezaji mbada (ufinyu wa wachezaji) na ndio maana Yanga walikata moto kwenye mzunguko wa pili kwavile wachezaji walitumia nguvu nyingi sana mzunguko wa kwanza hivyo wakachoka. Ila kikosi kingekuwa kipana wangefanya rotation ya wachezaji. Saivi unaona ni tofauti Bangala kiungo anacheza beki anacheza. Mukoko hana nafasi kikosi cha kwanza lakini atatumika kwenye rotation ya timu kama ilivyo kwa wachezaji wengineo
kingine cha kuongezea,ss hv ukiacha uwezo binafs timu inacheza kitimu zaidi na sio kutegemea uwezo binafs wa mchezaji zaid.Ndio maana zinapigwa pasi milio 10,809,023/-. Sio km msimu uliopita unakuta bila mbio za kisinda timu inafel au km Mukoko au Fei toto akikosekana mnaumiza kichwa.
 
Mzee mipango ipi hiyo KuIfunga Geita Gold, Kuifunga KMC!?

Timu bora inafunga bao nyingi siyo hizo za kupewa na refa. Ile ya kagera mlipewa refa.

Ya AZAM refa kawabeba sana. IDD Nardo kaangushwa ndani ya pernat lakini lefa kapeta.

Nitajie nichezaji yupo bora mliye sajili wa kumzidi Kisinda!?
Mchezaji yupi mliyesajili wa kumzid Niyonzima!?
Mchezaji yupi mliye sajili wakumzidi Cortino!?
Angalia impact ya Bangala kwenye kikosi, impact ya Aucho, Mayele, Djuma na Moloko.

Alaf rudi kwenye wachezaji mliosajili nyie ambao mpaka sasa ww kama shabiki wamekukosha ni wangapi?
 
Hawa yanga aka UTOPOLO tulishawazoea na kelele zao za mwanzo wa ligi.

Ndio muda wao wa kufurahi na kupiga kelele. Hii ni kawaida ya chura kuzomea kupiga kelele ili Mnyama wasiweze kunywa maji.

Kweli tabia ya chura imewaingia vizuri washabiki wa UTOPOLO.

Hii hapa ni takwimu za list season round 1.

View attachment 1993427

Wanasimba wenzagu walamsiwasikilize hawa vyura ndio tabia yao ya kupiga kelele. Sisi tuendelee kushikamana wao waendelee kupiga kelele.
Weka na simba tulinganishe
 
Uto wako moto sana mwaka huu.

Simba tumepigwa tu, tukubali, maana kwa uchezaj ule, hatutoboi.
 
Kama 2011-2017 yanga walichukua ubingwa mfululizo

Azam ni mwaka gani alichukua ubingwa?

Hapo ndo utajua kwanini eymael aliwaita nyani
1968 Yanga
1969 Yanga
1970 Yanga
1971Yanga
1972Yanga..

2012/13 simba
2013/14 Azam
2014/15 Yanga
2015/16 Yanga
2016/17 Yanga
2017/18 Simba
2018/19Simba
2019/20 Simba
2020/21Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa yanga aka UTOPOLO tulishawazoea na kelele zao za mwanzo wa ligi.

Ndio muda wao wa kufurahi na kupiga kelele. Hii ni kawaida ya chura kuzomea kupiga kelele ili Mnyama wasiweze kunywa maji.

Kweli tabia ya chura imewaingia vizuri washabiki wa UTOPOLO.

Hii hapa ni takwimu za list season round 1.

View attachment 1993427

Wanasimba wenzagu walamsiwasikilize hawa vyura ndio tabia yao ya kupiga kelele. Sisi tuendelee kushikamana wao waendelee kupiga kelele.
Tukumbushe kama mwaka jana Simba nao walikuwa na maandamano ya kutembea uchi.
 
Tofauti ipo kubwa sana, msimu uliopita. tukianza na wachezaji ni kwamba kulikuwa na wachezaji walio na kiwango bora lakini pia kulikuwa na rundo la wachezaji wasiokuwa na ubora.
Kaseke
Adeyuni
Mukoko
Nchimbi
Farid musa
Mauya

Hawa ndio walikuwa miongoni mwa wachezaji wanaotegemewa kwenye kikosi cha Yanga kupata matokeo au kubadilisha mchezo, lakini hao wote wamekuwa wasuguaji wa benchi kwa sasa hadi Mukoko ambaye aliimbwa sana msimu uliopita hivyo unaona ni quality ya wachezaji waliosajiliwa na Yanga.

La pili ni performance ya timu. Kwa misimu kadhaa iliyopita performance inaoneshwa na Yanga kwenye mchezo wa wiki ya wananchi haitotokea tena kuonekana kiwango kama kile katika mechi yoyote ile ya Yanga lakini saivi unaona utofauti. Yanga wanaonesha kuimarika mechi hadi mechi hivyo kadri siku inavyoenda timu inakuwa imara angalia aina ya mpira unaochezwa na Yanga siku hadi siku wanazidi kubadilika, anzia kwa soka waliochezewa Simba mpaka kufikia jana kwa Azam.

Tatu ni kwamba Yanga walikuwa wanafeli kwa kutokuwa na wachezaji mbada (ufinyu wa wachezaji) na ndio maana Yanga walikata moto kwenye mzunguko wa pili kwavile wachezaji walitumia nguvu nyingi sana mzunguko wa kwanza hivyo wakachoka. Ila kikosi kingekuwa kipana wangefanya rotation ya wachezaji. Saivi unaona ni tofauti Bangala kiungo anacheza beki anacheza. Mukoko hana nafasi kikosi cha kwanza lakini atatumika kwenye rotation ya timu kama ilivyo kwa wachezaji wengineo
Akiumia Mayele na Djuma mbadala wake ni nani? [emoji23][emoji23]
Bado naona Simba ikitwaa taji kwa mara nyingine timu yenu haina depth nzuri

Nitaftie mbadala wa hao jamaa wawili niliowataja ndo utajua kwamba simba ipo fresh na depth yake once again itawabeba
 
akiumia djuma

shomari kbwana anarud namba ake ya asili namba 2.....kule namba 3 kuna yassin kuna dogo bryson na adeyun

akiumia mayele atacheza makambo ikishindika yacouba anarud kati huku winga anaenda farid musa....ukiwa na waswas na yacouba kumbuka ndio top scorer wetu last season

eeeh swali lingine
 
Kulikuwa hakuna haja ya kumjibu Kolokolo hili swali,kwani timu yao hajaumia mtu lkn la ovyo ovyo,tena kila kukicha linazidi kuoza.
 
Anayewatia kiburi saizi ni mayele, ni kama mwaka jana ilivyokua kwa kalinyo

Yanga ni ile ile mtapoteana shauri zenu
Once upon a time nilisema hii kitu
 
Kwamba Mnajipa Moyo Yatajirudia Hayo Poleni Sana [emoji23][emoji23], Nyie Subirini Penati Yenu Baadae [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom