Takwimu za Yanga msimu uliopita Round ya kwanza

Uaha
Za down down,naskia Muddy kabla huu mwaka hujapinduka anaachia timu mazima,mnamtia hasara hakuna anachopata na hela zenyewe sio zake ni za familia,asa wachezaji watalipwa na nani na Hans Pope kasha die[emoji1787]
u.gsm.anaachia ngazi.mtalipana matikiti
 
Yanga hawana tawi kwa sasa
Hebu tuambie wale Namungo wanaodhaminiwa GSM hebu toa maelezo hapo. Zile pesa zilizokuwa zinatolewa na GSM kuwavunja miguu wachezaji wa simba walipewa timu gani kweli!?
 
Utopolo bhana eti wanaicheka simba huku wakiwa wameizidi point mbili tu.Hakika utopolo ni utopolo.
 
Hebu tuambie wale Namungo wanaodhaminiwa GSM hebu toa maelezo hapo. Zile pesa zilizokuwa zinatolewa na GSM kuwavunja miguu wachezaji wa simba walipewa timu gani kweli!?
Tupe kwanza uthibitisho kuwa waliotoa pesa ni GSM
 
Endeleeni kuhangaika na takwimu wakati sie tukiwa serious na maandalizi ya mechi zetu..Halafu mkishushiwa vitu vizito tena kwenye mechi zenu muanze kuitana wasaliti na kufukuza makocha.... shubaaaaaaaamit
 
Nimesoma majibu ya mleta mada!

Nimejiridhisha pasi na shaka yoyote kuwa mnabishana na nincompoop asiyejua mpira.
 
Hongera sana kwa ushindi wa goli kumi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…