Takwimu za Yanga msimu uliopita Round ya kwanza

We mwenyewe si unaona lakini
Inategemea naona nini au ww unataka nione nini.

Maana kufungwa kwenye derby sio kipimo Cha udhaifu wa timu nyingine. Kipindi mnachukua miaka 4 mfululizo, nadhani ulikuwa unaona derby zilivyokuwa ngumu kwenu.

Mmetufunga sisi, lakini utashangaa unaenda kupoteza mechi na timu ndogo kwenye ligi. Yanga hatujapoteana mkuu πŸ˜…πŸ˜…
 
Baada ya Ally Kamwe kusema jumapili wao hawachezi Derby bali wanakuja kutukanda, Haji Manara kamdhihaki Ally Kamwe.

Punguzeni porilai mtadhalilika
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…