Talaka inavyoniaribia Binti yangu mapema💔

Mi sikukasirikii coz naelewa unachokizungumza ila ukweli ni kwamba kuvunjika kwa ndoa si sababu ya fashion ama umri mdogo Bali ni upumbavu wa mwanamke... Nilipambana saana kuokoa ikashindikana
 
Yap sisi tulikua tunakimbilia chumban kwetu tukigongwa maswali ya utosi
 
Kiukweli watoto wanaumia saana na nakumbuka wakati NAMI nakua bila baba nilimpa wakati mgumu saana mama yangu
 
Ni kweli na sku hizi kabaki kutembea na vipimio vya HIV anakazi ya kupima majamaa yanayomkaza bila mwelekeo... She is total frustrated
 
Hao watoto wadogo unawafundisha mambo ya ndoa ili iweje?
 
Kama ni mtu mwema utajua tu... kuchelewa kumuoa sio ujanja, anaweza pretend akisubiri aolewe. Wewe ndio unamjua, jaribu kumuelewa tabia yake.. utagundua tu ni mtu wa vipi.
Shida ake ni wivu tuu ila malezi na mapemzi anayo
 
Kitu ambacho nimejifunza wanaume inabidi tujijali sana wenyewe.

Maana mama hata awe muovu vipi bado watoto watamtetea na kumuonea huruma yeye kuliko wewe.

Na wewe baba hata uwajali vipi wanao, Bado watazidi kuzidisha mapenzi kwa mama.
Na watoto wanabadilika saana Niko makini nalo saana ilo
 
Sawa mkuu, kama ni hivyo sasa inabidi ukae na binti umjenge kisaikolojia. Mweleze hali halisi ya maisha ilivyo na madhara ya yeye akiamua kuchagua maisha ambayo hata Mwenyezi Mungu hayampendezi.

Huku mtaani naona mabinti wengi waliohalibiwa kisaikolojia na baadhi ya mama zao ambao ni wenye chuki binafsi baada ya kulishwa sumu na mama zao. Hawataki kuolewa kwa kigezo cha kwamba "Watafute hela zao kwanza ili wanaume wasiwanyanyase". Inasikitisha sana. Binti umri unaenda na hela hapati, mwisho anajikuta ameamua kuolewa na mtu ambaye hakumtarajia.
 
Ni kweli na ndo mana sitaki hii kitu, Kuna mtu mmoja wa maombi alinishauri nimwombee kifo mama yoa nikasema hapana huko ni mbali saana
 
Babu ukitaka kuongeza mke ututangazie, usiongeze kimya kimya.....
 
Unaisingizia talaka kam inajifanya yenyewe tu.

Sema umekosea. Ukishamtaliki mwanamke uliyezaa naye tu, umeshakosea sehemu.
 
ULiyemwacha ana tako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…