Talaka inavyoniaribia Binti yangu mapema💔

Kwani Wanaume hatugongi nje Mkuu?

Naomba nikuulize Mkuu, hadi Kwa umri wako umeshagonga Kei ngapi hadi sasa?

Mambo mengine ni ya kuchukuliana tu
Nakubaliana na wewe lakini ikiwa mwanamke anafanya kwa namna ya dharau hadhari wewe unashauri vip?
 
Nimekusoma mkuu na huu ushauri nauonantija yake
 
Maajabu Hawa watoto walipokua kwa mama Yao walikua Hali mbaya kihisia kuliko nilivyonao Sasa na step mother wao.... Mama analala nje siku mbili ya tatu ndo anarudi utasema Bora nn??
 
Kabisa...unless mama awe amefariki watoto wajue kabisa huyu mtu ni non existent...na uyo mama mpya awapende kweli yani..
Huwezi lazimisha moyo wa mwanamke aliyechoka ndoa au mwanaume kuishi na wewe otherwise huyataki maisha yako.... Mimi ntaamini baba ukisimama vizuri kweli kweli hakuna shida
 
Sure hizi ndoa zikivunjika anaeumia ni mtoto.

Utakuta mtoto anauliza mbona baba haji,mbona mama haji.

Mmoja ajitoe tu kwamba ndoa imevunjika basi sitaoa au kuolewa nitalea wanangu inatosha.
Hakuna kitu kibaya kama kulea watoto bila mwenza ni changamoto kubwa na mbaya mno, mwanaume oa na mwanamke aolewe ndio Nidhamu ya malezi it's balance kwa watoto
 
Kuna mambo mengine ni kuyapa muda. Hapo hakuna shida yoyote kwa mtoto
 
Mama Yao ndio chanzo Cha haya yote, hata hivyo kosa langu nilimjeruhi ndio nilipo jaribu ila kuhusu LOVE Binti angu ananipenda zaidi ya mama yake pamoja ya kwamba mama Yao anawatia sumu kiaina.

Ndugu skiza kitu ambacho siwezi kufanya ni kueleza kosa la mama Yao at this age mpaka hapo atakapotimiza kuanzia either 15yrs au 18yrs akiwa na akili pembuzi kwa Sasa itakua ni torture zaid kwa akili yake
 
Hakuna kitu kibaya kama kulea watoto bila mwenza ni changamoto kubwa na mbaya mno, mwanaume oa na mwanamke aolewe ndio Nidhamu ya malezi it's balance kwa watoto
Sometimes maisha yanaamua iwe hivyo na kunakuwa hakuna namna
 
Hata akifika umri huo hakuna umuhimu
 
Sometimes maisha yanaamua iwe hivyo na kunakuwa hakuna namna
Nadhani yanaamua hivo kwa mwanamke kwa sababu mara nyingi si yeye anayechumbia japo akiji position vizuri watu wanaoa tuu single mothers..
Kwa mwanaume haiwezi kua tatizo binafsi wanawake wanani ng'ang'ania niwaoe wengine hata kwa gharama zao kikubwa sikutaka kukurupuka.

Ukitoa hio mind set ya uoga kweli utajitesa mno
 
Mkuu unamawazo nje ya box na ndo mana watoto waliolelewa na mama wa kambo mara nyingi hufanikiwa kuliko wa mama mzazi na huo ndio udhibitisho wa upendo, kwakumjenga mtoto akupe akimudu maisha katika mazingira yote.

Binafsi nasema na watoto wangu wahakikishe wanafanya kazi saana kuliko kucheza na wamsikilize Yao kwa kila maelekezo anayowapa ili wasihisi kunyanyaswa na inasaidia wameanza kua marafiki kimtindo
 
Nakubali ila inapitikea haiwezikani sio mwisho wa maisha na mwanadamu umeumbwa kukabiliana na mazingira mbalimbali ni pamoja na hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…