[emoji28] [emoji28] [emoji28] jamani watu mna maneno...hivyo mganga kajaa na picha za lance[emoji28] [emoji28] [emoji28]Huyo Mzungu alirogwa vby sana na mganga qa Chanika mpaka akatangaza ndoa. Alimuoa Mange kwa madawa haikuwa akili zake. Unaambiwa kwa huyo mganga kumejaa picha za wazungu.
Nae mshiriki wa umiss ila sijui ni mashindano yepi ila nae ni muke ya muzungu ila yeye katulia tuli na kibabu chake hapa hapa bongo, hana makeke wala majivuno na ndie rafiki pekee alieweza kuvumilia vituko vya mange.Huyu killy janga ni yule aliyewahi kushiriki miss Tanzanian ngazi ya mkoa huko Mara?
ila faiza umekosea hapo kwenye tumiguu hakupenda kuwa hivyo ni uumbaji tu...hayo mengine ni ufake kweli...
Huyu Mange ni zao la nje ya ndoa, mama ake alipewa mimba na mzee kimambi akazaliwa na kulelewa huko uswazi maisha ya kuunga unga, alipofikisha umri wa shule ndio babake akamchukua ili akae nae asome, sasa zile tabia za kiswazi akawa na kiburi kwa mamake wa kambo mama nae akawa anamrekebisha kwa nguvu, mwisho akawa akienda shule anaishia njiani hataki shule anacheza tu mtaani, hii ni kwa mujibu wake mwenyewe babake ndio alipopata taarifa akampeleka Arusha school boarding na ndipo alipo malizia elimu ya msingi, maisha ya kutoka mlo mmoja kuja kukuta mboga saba ndio yakamfanya awe limbukeni kupindukia mpaka kuwakan ndugu wote wa uzao wa mama ake kisa wa uswazi.Kwani mange amepitia magumu gani hasa mpaka kuwa hivi alivyo?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] da zenat kamaliza kazi yani anakupa habari na ushahidi wa kipicha utadhani alijua bdae hali ingekuwa hivi...insta inatumalizia bando haswaa
Hakuwa mke, ulikuwa mchepuko au nyumba ndogo wakati mzee kimambi akiwa na huyo mkewe wa ndoa, ila Mange kwa kukosa adabu na kumchukia mamake wa kambo akampenda sana Mwele na kufikia wakati mwingine kuishi kwake ili tu mamake wa kambo aumie, lakini mpeuko nao ukawa unaona vyema tu kuwekwa hadharani, elimu ya mwele na upole wake mange alimchafulia cv mbele ya wamama.Hapo kwa Mwele umekosea kidogo..mwelee alikuwa mke Wa baba ake Mange..so ni mama mdogo
Da zenat si alikuwa ka Dada ake VP tena waligombanaa tena. Anagombana Na kila.MTU tena Wa karibu yakee wotee kweli Awekwe kwenye Genius Book or Black book
wewe kweli ziro, kama hutaki kujua kinachojiri mitandaoni huku umefuata nini?!wabongo bhana fanya kazi,siku nzima unafatilia mtu kapost nn... duh tunasafari ndefu kuondokana na umaskini
Tobaaaaaaaaa!Huyu Mange ni zao la nje ya ndoa, mama ake alipewa mimba na mzee kimambi akazaliwa na kulelewa huko uswazi maisha ya kuunga unga, alipofikisha umri wa shule ndio babake akamchukua ili akae nae asome, sasa zile tabia za kiswazi akawa na kiburi kwa mamake wa kambo mama nae akawa anamrekebisha kwa nguvu, mwisho akawa akienda shule anaishia njiani hataki shule anacheza tu mtaani, hii ni kwa mujibu wake mwenyewe babake ndio alipopata taarifa akampeleka Arusha school boarding na ndipo alipo malizia elimu ya msingi, maisha ya kutoka mlo mmoja kuja kukuta mboga saba ndio yakamfanya awe limbukeni kupindukia mpaka kuwakan ndugu wote wa uzao wa mama ake kisa wa uswazi.
Hahahaaaaaa umeongea kiumbea uliotukukaDah..thx,sasa hii ndo itakuwa sababu ya mzungu kumuacha eeh.. Ila alifanya mistake sana kueleza mambo yake ya ndani kwa email bora hata wangeongea kwa simu..
wewe kweli ziro, kama hutaki kujua kinachojiri mitandaoni huku umefuata nini?!
Sio umbea umbea na upashkuna kama huu.. unajaza tu serverwewe kweli ziro, kama hutaki kujua kinachojiri mitandaoni huku umefuata nini?!
Sio umbea umbea na upashkuna kama huu.. unajaza tu server[/QUOT
ungeacha kuchangia usijaze sever.
Tegemez wa kwanza ni wewe nashangaa kazi unayofanya ni kufatilia watu, ukilazwa njaa unalalamika.Tafuta hela ujitegemee wacha kufatilia watu kimbea utakufa maskiniSasa wewe ambaye hufuatilii that means ni tajiri... ..
Utajiri wako utanisaidia nini?
Haya unatakiwa uwaambie unaowapa kula ili waepukane na kuwa tegemezi kwako.
Nawaonea huruma maana unaonekana una gubu hatariiiiii!
Hahahahaaa na nguo anapewa za kupigia picha tu!nimekusamehe mdg ake kichwapanzi...hivi uliona account ya dada zenat mwenyewe anakwambia dinner unapimiwa vichips saba[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] na picha akaweka walahi vilikua vipisi sita na salad hio mweee mange alimtesa dada wa watu