Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu dada ana "negative energy" kubwa sana. It is just a matter of time-if it is not happening, it is bound to do. Action and reaction are equal but opposite. Nguvu kubwa anayotumia kuwahukumu na kuwaharass watu itamrudia yeye au familia yake.
 
Cc Nifah

Ukuda ukudani. Kumbe ukikosea njia na kuingia choo cha kike hautoki bure
 
Pole bibi bomba.
Kumbe na wewe huwa unaumia ukisemwa?
 
Unasema jf Ni moja ya mitandao itakayofungiwa, umeandika kwenye ig page yako, MangeKimambi una hakika Na hili.....!???
 
Hahahahahaaa
Excuse me, huna ubavu wa kuniibia bwana mama.
Mimi nawe ni ardhi na mbingu,huingii kwangu hata robo!
Pamoja na mimake up yako,surgery na hizo diet unazohangaika kufanya mimi mwenzio ni English figure orijino...heheheee

Usichanganye madesa,sio kila jukwaa humu ni GT.
Huku ni kwenye gossip, udaku na yote yahusuyo celebrities.
Lipo jukwaa la Great Thinkers....upo bibi?
Sasa wewe umelazimisha weeee hadi tumekujua.
Kwanini tusikujadili?
Halafu ujue wewe ni celebrity wa mabaya tu,huna jema mama watatu!
Kwanini wewe tu Mange?

Halafu kumbe nimekukuna namna hii hadi umeshindwa kuvumilia ukaamua kuja huku?
Si wewe ulikuwa unajitapa unapenda ukiongelewa na hawakupunguzii chochote?
Kwa mara ya kwanza umeamua kuingia JF!
Means vichambo vimekukuna hadi kumoyo.
Punguza kujisikia,huna lolote wanakucheka watu.
Hasidi mwenye damu ya kunguni!
You are nothing but a loser.
 
Muke ya mzungu pole sana, Leo ndo imekua ndoa sio kila kitu makubwa....
Mpare haachiki mbona baba bhoke alikuacha?
 
Mhhhhhhh Nyumba ya Mange ina swimming pool?
Hivi si tungekoma kwa picha?Maana angejiloweka 24/7 kama kiboko.
Sijawahi kuona shoga,labda lipo tusubiri akina Sky Eclat watuambie.

Wala hatuwezi gombana shoga,hapa umbea tu.
Maugomvi tumuachie MangeKimambi aliyegombana na dunia nzima.
 
Haaa haaa this is not a great thinker forum, it is a celebrities forum, anyways kama haujaachika hongera sana n all the best kama umeachika pole pia , thats life!But being real is one point na kuweka akiba ya maneno pia kunajenga, maneno yako yanaacha maswali mengi kuliko majibu , anyways thats you , bahati mbaya you cant block people here
 
Kama ndoa sio kila kitu sasa mbona haishi kuwahadaa watu ooh flani kazaa hajaolewa akafie mbele huko na diet mavi hakuna cha diet mambo magumu life halieleweki anajikondea tu anajifanya diet
Hahahahaaa anadanganya watu anafanya diet wakati life imempiga.
Kakongoroka macho yamesinyaa kama kizee cha miaka 70!
Kabaki fuvu la kichwa tu.
Ile picha aliyopiga akiwa supermarket nilihisi atadondoka!
Sio kwa kukonda kule.
 
She is nothing at all like i said before she cant argue, she cant stand on her own n she cant do anything, ile blog kama sio ufadhili wa vodacom ambao Mwamvita ndio aliusimamia then hakuna kitu m telling na kwa kugombana kwake na kila mtu na upstairs ile there is nothing she can do
 
Siku akiweka picha ya nyumbani kwake nitag ha ha ha make mashauzi yake ni restaurant na kwenye nyumba za watu, huko atachangamka kupiga picha fasta fasta tena picha za kutosha, kakonda kweli kabakiza fuvu na nyonyo tu ndo halijakonda
 
Hahahahaaa kule Instagram page yake huwa napita kama upepo,namchora tu.
Halafu hata kwa kina kichwapanzi sicomment wala kulike maana najua ataniblock nisijekosa kujionea mabalaa yake.
Huku kajileta tutamchaaaamba na hana cha kutufanya.
Huwa anajidai mjuaji sama,eti hii ndio GT....
Hahahahahaaaaa
 
Siku akiweka picha ya nyumbani kwake nitag ha ha ha make mashauzi yake ni restaurant na kwenye nyumba za watu, huko atachangamka kupiga picha fasta fasta tena picha za kutosha, kakonda kweli kabakiza fuvu na nyonyo tu ndo halijakonda
Kama ameshaingia kwenye madeni tu sahauni kumwona akirudi hapa nchini maana ukishakuwa na madeni tu USA ndio utabeba maboxi, kuosha vyoo, kufanya kazi mahotelini na kazi kama hizo.Ile Bongo nini sijui ilikuwa inamlipa na wateja wake wote wa maana kagombana nao sasa sijui atanunua nani?Yaani before hajangombona na mtu hata kufanya CBA anashindwa and then amefanya MBA, i doubt
 
Huyu nilikuwa namtetea juzi kuwa pamoja na mabaya yake lakini kichwani yuko njema.
Ajabu leo anasema eti namchukia.
Mange achukiwe kwa kipi jamani?
Angekuwa mzuri angesema tunamuonea wivu.
Mali hana sawa na mimi tu hapa.
Achukiwe kwa lipi?
She is nothing.... Indeed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…