Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Haaaaaa!Cuzoo kumbe huyu mshenzi kawatapeli?
Mbona makubwa?Tajiri anatapeli corset?
Mimi hata akijitolea mtu kuninunulia hayo maronya ya Mange sitaki hata bure.
Tukisikia anakuja tukamchukulie rb na kabla ya kumpeleka police tumtembezee kichapo.
 
Kama ameachwa aje nimuwowe Mimi natafuta muke. Jina langu kamili Ni Maganga Makali Dodoma. Nina shamba langu na vitoweo vya kutosha. Nataka anifanyie kazi zangu za kitandani na kuzaa watoto.
 
Tatizo wazungu hawapendi stress, huyu grandma mdomo wake mchafu sana .inaelekea huyu Mzungu kachoka na drama za huyu granny ndoo mana kamu damp.

Any way lazima awaze na hivi wazungu wanavyohusudu blow job na 4n4l S3kx . Hapo lazima aumie sana akifikiria .

Kawa simu ya mchina laini tatu
 
Mi nashangaa hata wazungu wanaacha wanawake!
mkuu wazungu hawapendi stress ndoo maana wana ndoa za mikataba .

Yaani lazima unyoke tuu huwezi mzingua wakati unajua terms and condition apply

Hapo baada ya 7 years mkataba umeisha unasepa mazima
 
Leo ndio mmejikusaaanya mkaona mje kuicheza ngoma mwishoni....
Yeye mbona anafuatilia ya watu?
Hivi kuna mbea kama Mange?
Mbona Yeye ya watu yanamuumiza kichwa?
Hamna jipya nyie....kafieni mbali na chizi wenu huko.
Unalo shosti limekukaba na litakuua mwenyewe, mtasubiri sana aachwe mwenzenu ndo kwanza ndoa inaimarika, ndoa sio pete shosti marekani nobody cares about pete mkononi, serikali ya Marekani inamtambua yeye ni mke legal wa mzungu, mkiweza kutengua hilo kwa uchawi wenu mtashinda, tena mje na proof hapa otherwise subirini sana tungeni kuwa sana jioni ikifika mkakojoe mlale!, u guys don't have a life seriously, Yani nyie ni wapumbavu at your best! Yani mnajippza kwa kudanganyana kaachwa mbona mtakufa ulimi nje nyie mbuzi??? Kha!!! Mtokage nje ya Tz mwende hata hapo Egypt mpate exposure upumbavu umewazidi mnatia kinyaa
 

Seriously??? Unadhani Mange anasemwa kwa kua anaonewa wivu??? Mdomo ndio unamponza ooh shit I might be talking to her majesty the queen of bullying her self ..acha kutukana na kufuatilia ya watu and no one will bother you mscheeeeew!! Kutwa kucha kutukana watu umebaki mwenyewe mwenyewe ka sungusungu wa geza ulole..hebu huko
 
cold, hakuna mtu wa kuongea nae your world becomes boring...you miss home...we share same exprience...tofauti mi kurudi home niko tayari loh😎..pole lakini kwa unayopitia...ukiwa na watoto ndio kabisa inakuwa mzigo as they demand of you a lot...ungekuwa peke yako naona ungeshasepa lol
 
Haaaaaa!Cuzoo kumbe huyu mshenzi kawatapeli?
Mbona makubwa?Tajiri anatapeli corset?
Mimi hata akijitolea mtu kuninunulia hayo maronya ya Mange sitaki hata bure.
Tukisikia anakuja tukamchukulie rb na kabla ya kumpeleka police tumtembezee kichapo.
Ww nae kwa hashuo km ushuzi wa ngomani, unaita nguo maronya ronya pengine ulikuwa ndio wa kwanza kwenda kuweka foleni huko alipokiwa anauza au kwa kuwa now upo nyuma ya keyboard na hakukuwa na vitambilisho ktk kununua, lol.

Wabongo mwisho yani kila kitu lazima mtoe kasoro. Yes wote tunapenda umbea ila kumfuatilia mtu too much unakuwa km mchawi
 
mkuu wazungu hawapendi stress ndoo maana wana ndoa za mikataba .

Yaani lazima unyoke tuu huwezi mzingua wakati unajua terms and condition apply

Hapo baada ya 7 years mkataba umeisha unasepa mazima
Ww nae hizo ndoa za mikataba za kuzisoma magazetini au ulizishuhudia.
Hivi inavyoitwa ndoa ya mkataba unaelewa maana yake au ili mradi tuu na ww umeswma umesikika
Just Google and find out please, uki comment kihivyo unaonekana fala
 
Nyie mna preach neno la Mungu hamtukani??? Peleka kinyaa huko! Ndio mna wivu na utawaua mwenzenu anasonga na huyo huyo mzungu mnayempigia kelel huku mnatamani kuwa hata na wazee wa miaka 80 wa kizungu haloooo!!!! Mko ka wachawi tena bora mchawi ajulikana mchawi cha!
Linda alianza chokochoko mwenyewe kisa sentensi moja ya kipuuzi leo mama mtu mzima hana haya anatukana kama kanywa maji ya choo kujifanya victim, hao mbuzi wenzio mnajidai anawa bully wote chokochoko zimeanzia kwao leo mnasimamisha pua zenu msizojua kufuta kamasi mnamwita bully? Pelekeni upumbavu huko!
Fungeni mabakuli yenu msitukane muone kama atawatukana! Mmezidi acha awatukane na kuachwa haachwi ng'oooooo!!! dua la kuku .......malizia mwenyewe ukojoe ulale.
 
Nitake radhi wewe Lindi hakuna watu wasiokuwa na kazi mjini
Upo sahihi mkuu,
Ndio maana madogo zangu wa mikoa ya kusini wapo radhi kutwa nzima wauze leso(vitambaa vya kupengea kamasi) mtaa wa kongo k/koo almradi tu wawe bize.sema tu ndio vile tena....
 
Mange kweli hamnazo.
huko insta mda huu ameanza kuweka video clip za binti Fulani hivi ambaye ni mtoto wa linda."anamuua" linda kisa binti yake anafanya kazi ya ubahamedi.

Ila nilichopenda ni kule ku-expose kazi halisi wanazofanya majority ya wabongo huko USA.
Kwa Mara ya kwanza,mange kimambi kaliweka "box la ubahamedi hadharani".
 
Huyu Dada anajishughulisha na mini au ana professional gan ?maana kutwa yuko mtandaoni kaz kusema wenzake wauza unga,Mara WaTz yaan vipoint virefu virefu tu.....hii kaz ndio inamlipa mpk kuishi L.A???
 
Huyu Dada anajishughulisha na mini au ana professional gan ?maana kutwa yuko mtandaoni kaz kusema wenzake wauza unga,Mara WaTz yaan vipoint virefu virefu tu.....hii kaz ndio inamlipa mpk kuishi L.A???
Mama wa nyumbani a namtegemea mume ampe hela kila siku kukinga mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…