Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

HIVI WEE MANGE KIMAMBI KWANINI ULINIBLOCK KULE KWENYE BLOG YAKO NA INSTAGRAM...!! tatizo lako hukubali kuambiwa ukweli wee bibie...haya maisha umeyataka mwenyewe kwa kujianika kwenye social media ukajiona mjanjaa..!! kila kitu unajidai unajua umegombana na marafiki zako wotee..chaaa mwanamke una mdomo mchafu wee kama choo cha stand.. una wivu hatari usione rafikiyo kakuzidi au mtu yoyote...ushauri wa bure nenda kaombewe maana una pepo la mafarakano...na roho ya kukataliwa!!
haya kama kweli unajiamin tu unblock kule faster tuendelee kudai pesa zetu za corset...lol ulimtapeli rafiki yangu pesa yake had leo hujamrudishia corset hujampa....!! ukidaiwa unajidai kufuta comment na kublock watu...!!wee si muke ya tajir hivo vidollar vichache mbona vinakutoa imani??

alafu wee si unajidaigi jeshi la mtu mmoja huogopagi mashambulizi..haya nini kimekusibu huku hadi umejibu???

sikuombei mabaya ila umefika mwisho wako SIT DOWN SUBIRI KARMA INAKUJA...umeumiza watu wengi na maneno yako..sitoshangaa siku nikisikia umejilipua kama dady akoo..maana Mungu mkali malipo ni hapahapa dunianii...!!
RUDISHA PESAZA CORSET ULIZOTAPELI...JASHO LA MTU HALIENDI BURE!!!
Haaaaaa!Cuzoo kumbe huyu mshenzi kawatapeli?
Mbona makubwa?Tajiri anatapeli corset?
Mimi hata akijitolea mtu kuninunulia hayo maronya ya Mange sitaki hata bure.
Tukisikia anakuja tukamchukulie rb na kabla ya kumpeleka police tumtembezee kichapo.
 
Kama ameachwa aje nimuwowe Mimi natafuta muke. Jina langu kamili Ni Maganga Makali Dodoma. Nina shamba langu na vitoweo vya kutosha. Nataka anifanyie kazi zangu za kitandani na kuzaa watoto.
 
Sifurahii ndoa kuvunjika, ila Mange alizidi jamani kujinadi kha! mume wake ndio mume, mzuri, tajiri anajali, ameelimika, amemzalisha watoto wazuri, loo, ikafika mahali akatukana wabongo waliolewa na wanaume weusi, eti wanaume weusi hawajui kupenda, wanyanyasaji, washenzi wa tabia? Akaja na aIDEA ya kuwasaidia wanawake wa bongo kuolewa na wazungu.. mwe... wenye akili kama zake walitiirika balaa mpaka akasema atawachaji kwa walioshindwa kutumia huo mtandao wa kujiuza, leo MZUNGU ambae kwake ndio MUME kamuacha? balaa hilo ni kubwa ndio maana kazidi kuwa chizi.. pole sana na ajifunze kuwa HUJAFA HUJAUMBIKA.
Tatizo wazungu hawapendi stress, huyu grandma mdomo wake mchafu sana .inaelekea huyu Mzungu kachoka na drama za huyu granny ndoo mana kamu damp.

Any way lazima awaze na hivi wazungu wanavyohusudu blow job na 4n4l S3kx . Hapo lazima aumie sana akifikiria .

Kawa simu ya mchina laini tatu
 
Mi nashangaa hata wazungu wanaacha wanawake!
mkuu wazungu hawapendi stress ndoo maana wana ndoa za mikataba .

Yaani lazima unyoke tuu huwezi mzingua wakati unajua terms and condition apply

Hapo baada ya 7 years mkataba umeisha unasepa mazima
 
Leo ndio mmejikusaaanya mkaona mje kuicheza ngoma mwishoni....
Yeye mbona anafuatilia ya watu?
Hivi kuna mbea kama Mange?
Mbona Yeye ya watu yanamuumiza kichwa?
Hamna jipya nyie....kafieni mbali na chizi wenu huko.
Unalo shosti limekukaba na litakuua mwenyewe, mtasubiri sana aachwe mwenzenu ndo kwanza ndoa inaimarika, ndoa sio pete shosti marekani nobody cares about pete mkononi, serikali ya Marekani inamtambua yeye ni mke legal wa mzungu, mkiweza kutengua hilo kwa uchawi wenu mtashinda, tena mje na proof hapa otherwise subirini sana tungeni kuwa sana jioni ikifika mkakojoe mlale!, u guys don't have a life seriously, Yani nyie ni wapumbavu at your best! Yani mnajippza kwa kudanganyana kaachwa mbona mtakufa ulimi nje nyie mbuzi??? Kha!!! Mtokage nje ya Tz mwende hata hapo Egypt mpate exposure upumbavu umewazidi mnatia kinyaa
 
Seriously??? Unadhani Mange anasemwa kwa kua anaonewa wivu??? Mdomo ndio unamponza ooh shit I might be talking to her majesty the queen of bullying her self ..acha kutukana na kufuatilia ya watu and no one will bother you mscheeeeew!! Kutwa kucha kutukana watu umebaki mwenyewe mwenyewe ka sungusungu wa geza ulole..hebu huko
 
cold, hakuna mtu wa kuongea nae your world becomes boring...you miss home...we share same exprience...tofauti mi kurudi home niko tayari loh😎..pole lakini kwa unayopitia...ukiwa na watoto ndio kabisa inakuwa mzigo as they demand of you a lot...ungekuwa peke yako naona ungeshasepa lol
 
Haaaaaa!Cuzoo kumbe huyu mshenzi kawatapeli?
Mbona makubwa?Tajiri anatapeli corset?
Mimi hata akijitolea mtu kuninunulia hayo maronya ya Mange sitaki hata bure.
Tukisikia anakuja tukamchukulie rb na kabla ya kumpeleka police tumtembezee kichapo.
Ww nae kwa hashuo km ushuzi wa ngomani, unaita nguo maronya ronya pengine ulikuwa ndio wa kwanza kwenda kuweka foleni huko alipokiwa anauza au kwa kuwa now upo nyuma ya keyboard na hakukuwa na vitambilisho ktk kununua, lol.

Wabongo mwisho yani kila kitu lazima mtoe kasoro. Yes wote tunapenda umbea ila kumfuatilia mtu too much unakuwa km mchawi
 
mkuu wazungu hawapendi stress ndoo maana wana ndoa za mikataba .

Yaani lazima unyoke tuu huwezi mzingua wakati unajua terms and condition apply

Hapo baada ya 7 years mkataba umeisha unasepa mazima
Ww nae hizo ndoa za mikataba za kuzisoma magazetini au ulizishuhudia.
Hivi inavyoitwa ndoa ya mkataba unaelewa maana yake au ili mradi tuu na ww umeswma umesikika
Just Google and find out please, uki comment kihivyo unaonekana fala
 
Seriously??? Unadhani Mange anasemwa kwa kua anaonewa wivu??? Mdomo ndio unamponza ooh shit I might be talking to her majesty the queen of bullying her self ..acha kutukana na kufuatilia ya watu and no one will bother you mscheeeeew!! Kutwa kucha kutukana watu umebaki mwenyewe mwenyewe ka sungusungu wa geza ulole..hebu huko
Nyie mna preach neno la Mungu hamtukani??? Peleka kinyaa huko! Ndio mna wivu na utawaua mwenzenu anasonga na huyo huyo mzungu mnayempigia kelel huku mnatamani kuwa hata na wazee wa miaka 80 wa kizungu haloooo!!!! Mko ka wachawi tena bora mchawi ajulikana mchawi cha!
Linda alianza chokochoko mwenyewe kisa sentensi moja ya kipuuzi leo mama mtu mzima hana haya anatukana kama kanywa maji ya choo kujifanya victim, hao mbuzi wenzio mnajidai anawa bully wote chokochoko zimeanzia kwao leo mnasimamisha pua zenu msizojua kufuta kamasi mnamwita bully? Pelekeni upumbavu huko!
Fungeni mabakuli yenu msitukane muone kama atawatukana! Mmezidi acha awatukane na kuachwa haachwi ng'oooooo!!! dua la kuku .......malizia mwenyewe ukojoe ulale.
 
Nitake radhi wewe Lindi hakuna watu wasiokuwa na kazi mjini
Upo sahihi mkuu,
Ndio maana madogo zangu wa mikoa ya kusini wapo radhi kutwa nzima wauze leso(vitambaa vya kupengea kamasi) mtaa wa kongo k/koo almradi tu wawe bize.sema tu ndio vile tena....
 
Mange kweli hamnazo.
huko insta mda huu ameanza kuweka video clip za binti Fulani hivi ambaye ni mtoto wa linda."anamuua" linda kisa binti yake anafanya kazi ya ubahamedi.

Ila nilichopenda ni kule ku-expose kazi halisi wanazofanya majority ya wabongo huko USA.
Kwa Mara ya kwanza,mange kimambi kaliweka "box la ubahamedi hadharani".
 
Huyu Dada anajishughulisha na mini au ana professional gan ?maana kutwa yuko mtandaoni kaz kusema wenzake wauza unga,Mara WaTz yaan vipoint virefu virefu tu.....hii kaz ndio inamlipa mpk kuishi L.A???
 
Mama wa nyumbani a namtegemea mume ampe hela kila siku kukinga mkono
 
Back
Top Bottom