Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Loh hivi ni kweli kaachwa? Mi nlijua ni maneno tu ya wabaya wake. Na kuhusu huzuni ya leo sio lazima iwe ni kwaajili hiyo...yapo mengi mtu anayapitia inawezekana ni jambo jingine kabisaa
Kusema huwezi hata picha huoni?
Huhuuuuuuu
Mbea yake heading,habari ataandika mwenyewe.
Wewe kaa ukisubiri aseme.
 
Nimkimbie wakati kapost mwenyewe mkuu?
Halafu baada ya kuona kaharibu akaifuta fastaaaa.
Aweke wazi tu,hakuna siri ya milele.
Moshi unafuka,karibuni patawaka moto.
Ila hapa ni nyumbani kwako tena mwenyeji hakuwezi ila huko IG duh ungechakaa[emoji2] [emoji2]
 
Mi nacho mshangaa kwa nini analazimisja Maisha kama Magumu si aachane nayo tu afanye mambo mengine na hii IG inawafanya watu waishi maisha wasiyoyaweza.
Maisha anayoishi huko IG kwa sasa ni aibu tupu!
Sio Mange yule wa mashauzi.
Sasa hivi anavaa nguo za mwanae!
Out anazotoka na wanae sio out sio wazimu.
Shida zote za nini?
 
Hahahahaaaa umenikumbusha MSAGA SUMU aliposema Le Mutuz na kukaa kote USA miaka 30 alijitahidi kwelikweli akasave 500$!!!
 
Na kama kweli kaachika nina wasiwasi mwisho wake hautokuwa mzuri. Akishindwa kabisa huko aliko kama ana roho ndogo anaweza hata kujiua kukwepa aibu(Mungu apishie mbali) manake anavojiona yuko juu ya kila mtu sidhani kama ataweza kuface reality
 
Ila jamani Mwamvita ana moyo wa kipekee maana sio kwa kushambuliwa kule.
Ila Mwamy huyuhuyu ndio kasababisha mabalaa yote haya ya talaka kwa kusambaza email aliyotumiwa.
Sidhani kama kuna kitu Mange anajutia kama ile email aliyomtumia Mwamy!
 
Mimi pia sifurahii kuvunjika lakini kwa maumivu aliyowasababishia watu na ivunjike tu.
Imefika time yake ya kuchekwa.
Sipatii picha watu wanavyogonga cheers huko kwa furaha.
Alizidi huyu mwanamke,dunia yote akaona ndio yake.
 
Huyu Dada ni mswahili sana na bahati mbaya huwa kuna wambea wenzake ambao huwa wanampa umbea kila anachokiandika huwa kina ukweli flan tatizo lake ni kigeugeu
 
Hivi huwa anajivunia nini hasa,maana too much kuna siku alimchambua Riz moko nikabaki mdomo wazi huyu dada anategemea/jivunia nini ........
Mange ni mpenda sifa aliyetukuka.
Anapenda kufanya yale mambo hatari ambayo wengine hawawezi ili kujipatia sifa.
Mwenyewe nilianza kumuelewa kwenye suala la January ila baada ya kutulizwa nilimuona nae ni msaka tonge tu.
Atajijua mwenyewe na lifestyle yake.
 
Ila jamani Mwamvita ana moyo wa kipekee maana sio kwa kushambuliwa kule.
Ila Mwamy huyuhuyu ndio kasababisha mabalaa yote haya ya talaka kwa kusambaza email aliyotumiwa.
Sidhani kama kuna kitu Mange anajutia kama ile email aliyomtumia Mwamy!
Kweli Nifah ile e-mail ndio ilileta balaa, Mange akajitahidi kujibebesha mimba akijua akiongeza mtoto mzungu hata muacha, mpaka wakawa wanamuita mwanae wa kuombea msamaha, na mwenyewe alivyo bwege akijitangaza kwenye blog yake Lance atafurahi sana nimepata faraja namuongezea kidume cha pili, maskini mzungu akakomaa tu na talak. Pole yake maisha yake aliyaweka hadharani sana, kazi anayo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…