Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Prince,umemwaga madini matupu kama kawaida yako.
Nawashangaa sana wanaosema hapa tusifurahie kuanguka kwake,walikuwa wapi wakati yeye alisherehekea kuanguka kwa wenzake?
Ni zamu yake sasa kuchekwa.
 
Tatizo sio kumsema vibaya wala nini...hanago dogo yule mdada
Hebu acheni kumuogopa huyo kikongwe,na afanye hivyo basi.
Halafu mbona nimeandika kiustaarabu sana jamani?
Ni wapi nilikomsema vibaya?
 
Hapana jamani.
Kweli Mange anakera sometimes ila kichwani yumo.
Ni huo upumbavu wake tu lakini akituliza kichwa anakuwaga na hoja zake za msingi sana.
Ila ndio hivyo,hataki kutumia akili yake kufanyia maendeleo,kachagua majungu.
Upstairs yuko F kabisa , she cant urgue kabisa, hawezi kusimamia hoja, ila kama upstairs kunakuwa fine kwa kuchamba yes she is?But ukifollow mijadala yake unaweza kumwona upstairs yuko vipi, hopeless kabisa , she cant compete labda kwa kazi za kubebwa ambazo now naona zinakufa taratibu
 
Hahahahaaaa kumbe nawe huwa mpole ukichokoza eeh?
Halafu hayo maandishi yako hapo chini umeniacha hoi sana.
Kajanja weeeeewe?

Yani nimefuta kama majibu matatu hivi, mpaka kuamua kupost hivyo ni baada ya kujihakikishia kwamba siibui ugomvi.
 
Hahahahaaaa shoga umeuaaaaa
Khaaaa!
 
Sasa Mange akirudi bongo atakua fala, ameishi USA miaka yote hiyo ashindwe kujitegemea?!
Haaa haaa mkuu USA sio kama Bongo, hakuna Magumashi wala kubebwa kule, we unafikiri kwanini Lemutuz alirudi na dola 500?Pia ameishi USA miaka mingapi na alikuwa anafanya nini?Yeye ni mama wa Nyumbani , mama wa nyumabni anakuwa anafanya nini?Labda ategemee mgao wa Talaka je jamaa ana hela gani?
 
Kwanza mimi nilifikiri huyo demu ni pini moja ya maana, kumbe kipo kiajabu ajabu tu. Wazungu nao muda mwingine huwa wanajitoa ufahamu
 
Kumbe Hauna Evidence Yoyote Ya Kuthibitisha Unachojaribu Kutueleza Kama Ni Tetesi!!! Nadhani Ungetuambia Ni Mtazamo Wako Na Chuki Zako Tu!! INASHANGAZA Kweli Now Days Jf Imegeuka Kuwa Instagram!!
 
My dear,nimekukataza usimpende?
Ni wapi nilikosema namchukia?
Halafu usinifanishe na Mange ambaye kanizidi kwa miaka 10.
Maisha yake acha yajadiliwe,kayataka mwenyewe.
Kama asingepost ningeyapatia wapi?
hahahaha @nifaaa nilitegemea kichambo zaidi ya icho asantee kwa kunionea uruma....ningejutaje
 
Una akili sana aisee
 
Kwanza mimi nilifikiri huyo demu ni pini moja ya maana, kumbe kipo kiajabu ajabu tu. Wazungu nao muda mwingine huwa wanajitoa ufahamu
Mzungu huwa haangalii uzuri, anaangalia upatikanaji wako tu, ndio maana wake wengi wa wazungu ni wanawake, wenye tamaa ya maisha ya juu, machangu wanaotafuta pa kupumzikia, wachache sana waliobahatisha kupata wake wanaojielewa.
 
Nakubaliana na wewe 100%
 
hahahaha @nifaaa nilitegemea kichambo zaidi ya icho asantee kwa kunionea uruma....ningejutaje
Hahahahahaa siku hizi nimekuwa mpole sana,sina kashkash kama zamani.
Karibu
 
Kwanza mimi nilifikiri huyo demu ni pini moja ya maana, kumbe kipo kiajabu ajabu tu. Wazungu nao muda mwingine huwa wanajitoa ufahamu
Wazungu kwa kuoa mademu wabovu wa ki Africa wapo vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…