Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Huyo Mzungu alirogwa vby sana na mganga qa Chanika mpaka akatangaza ndoa. Alimuoa Mange kwa madawa haikuwa akili zake. Unaambiwa kwa huyo mganga kumejaa picha za wazungu.

Chimbo.
 
Wanaume wa Dar watadadavua vizuri issue hii
 
Hahahahaaaa
Sasa hivi yuko na option ya kupata kibabu cha kizungu kimsaidie kulea watoto.
Hebu tusubiri kama hii ikifeli....huenda akarejea.
Cybercrime law inambana..Kuishi Tz atapata tabu sana..Anaweza kukonda bila hata kufanya diet..Mana huyu akikaa bila ya kuwachamba watu anaumwa
 
Kapiga picha strategically mbele ya mansion lake na Kia Tucson, ready to hit Vegas baby!
 
Maisha yakipiga nyoko inakuwa ile ya kisawasawa, mwisho unasingizia Shamim mchawi.
 
Hahahahaaaa hili la kurudi na dola 500 sio kweli jamani,khaaaaa!
 
natamani kufahamu kama ule mtaa anaokaa kuna mtu mweusi aliyeongezeka....maana mtaa wa matajiri ambao hauna ngozi nyeusi atiii
Mwenzangu!!!!
Ila Mange ana mashauzi yule sijapata ona.
Eti mtaa mzima yeye tu ndio mweusi!
Hivi wewe mara ya mwisho kuona picha aliyopiga akiwa nyumbani kwake ni lini?
 
Mwenzangu!!!!
Ila Mange ana mashauzi yule sijapata ona.
Eti mtaa mzima yeye tu ndio mweusi!
Hivi wewe mara ya mwisho kuona picha aliyopiga akiwa nyumbani kwake ni lini?
Thubutu yake...shoga ana crop ile internationale yani wakuda tunashindwa hata kuongeza imagination zetu kwa mbele! Lakini wacha tu acrop mana kwa misakafu ile iliopasuka pasuka ya mwaka 47 waiii hata kwetu sitimbi kuna hadhi sio kwa mipasuko ile... akajambe mbele(in her voice[emoji3] )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…