Dyf
Senior Member
- Feb 2, 2016
- 185
- 150
Tusimlaumu kama n mama Wa nyumban lazma apge umbea Wa mitandaon maana mashost wazungu hawana tym nae huko,akaribie TZ afanye maisha tu..Mama wa nyumbani a namtegemea mume ampe hela kila siku kukinga mkono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusimlaumu kama n mama Wa nyumban lazma apge umbea Wa mitandaon maana mashost wazungu hawana tym nae huko,akaribie TZ afanye maisha tu..Mama wa nyumbani a namtegemea mume ampe hela kila siku kukinga mkono
hahah sio mie alimtapeli shost yangu hadi nilimuonea huruma..mie kwa tumbo lipi nivae hilo li corset ambalo lipo hata hapa congo k.koo yanauzwa 30k,,,shost alijua litakua ni librand la nguvu si unajua kimavi alivyo na sound oh kitu OG...kumbe mchina mojaa..!!ptuuu dhuluma mbaya kweli..ila wajinga ndio waliwao....Haaaaaa!Cuzoo kumbe huyu mshenzi kawatapeli?
Mbona makubwa?Tajiri anatapeli corset?
Mimi hata akijitolea mtu kuninunulia hayo maronya ya Mange sitaki hata bure.
Tukisikia anakuja tukamchukulie rb na kabla ya kumpeleka police tumtembezee kichapo.
Stay at home mom, swali lingine?Huyu Dada anajishughulisha na mini au ana professional gan ?maana kutwa yuko mtandaoni kaz kusema wenzake wauza unga,Mara WaTz yaan vipoint virefu virefu tu.....hii kaz ndio inamlipa mpk kuishi L.A???
Dondosha CV yake apaStay at home mom, swali lingine?
mkuu,turudi jukwaa la siasa,tukaendeleze ndondo letu la ukawa vs magufulists!Nimesoma huu uzi hata sielewi kitu naona nyota nyota tu, mambo ya wanawake bwana kazi kweli kweli..
Sawa kabisa mkuu maana hapa naona maruwe ruwe tu,mkuu,turudi jukwaa la siasa,tukaendeleze ndondo letu la ukawa vs magufulists!
Itakupa kazi ulipo?Dondosha CV yake apa
Evidence ya ndoa kufa unayo? Weka link au any proof inayoonyesha kadivorce (usinionyeshe kidole kisicho na pete that dont matter)Mange Mange Mange Kimambi, mwanamke mwenye matusi kushinda yale ya makuli wa mizigo. Uliwatukana sana wanasiasa hasa Lowassa jamani bila hata kosa. Mimi siyo team Lowassa ila nilisikitika sana na yale matusi kwa kuwa Lowassa naye ni baba wa familia halafu kama ni kuugua basi ujue wote tutaugua na si kumtukana kiasi kile. Uzuri waliomtukana wengine walimtangulia mbele ya haki na wewe Mange ndoa yako imetangulia. Ninafikiri kwa sasa utakuwa na adabu.
Mleta mada atuonyeshe ila lisemwalo kama halipo laja. Mange ni member hapa aje akanushe.Evidence ya ndoa kufa unayo? Weka link au any proof inayoonyesha kadivorce (usinionyeshe kidole kisicho na pete that dont matter)
Watu wanachekesha wao wenyewe siri zao zikitolewa hadharani ya Mange madogo...Evidence ya ndoa kufa unayo? Weka link au any proof inayoonyesha kadivorce (usinionyeshe kidole kisicho na pete that dont matter)