Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Mama wa nyumbani a namtegemea mume ampe hela kila siku kukinga mkono
Tusimlaumu kama n mama Wa nyumban lazma apge umbea Wa mitandaon maana mashost wazungu hawana tym nae huko,akaribie TZ afanye maisha tu..
 
ha ha ha ha ha NIFAH hiyo picha alitoka kula tunda kwa MZUNGU si unajua tena wazungu wanatumia viagra kwa hiyo MECHI badala ya Dk 90 inaongezwa Dk 30 THEN matuta yaani mzunguko wa kwanza ni Dk 145,
 
Haaaaaa!Cuzoo kumbe huyu mshenzi kawatapeli?
Mbona makubwa?Tajiri anatapeli corset?
Mimi hata akijitolea mtu kuninunulia hayo maronya ya Mange sitaki hata bure.
Tukisikia anakuja tukamchukulie rb na kabla ya kumpeleka police tumtembezee kichapo.
hahah sio mie alimtapeli shost yangu hadi nilimuonea huruma..mie kwa tumbo lipi nivae hilo li corset ambalo lipo hata hapa congo k.koo yanauzwa 30k,,,shost alijua litakua ni librand la nguvu si unajua kimavi alivyo na sound oh kitu OG...kumbe mchina mojaa..!!ptuuu dhuluma mbaya kweli..ila wajinga ndio waliwao....
kuhusu RB mapema sana atajikuta segadensi maana nna mascreenshots zote zake alizomdhalilisha kipenzii changu LOWASSA
 
Huyu Dada anajishughulisha na mini au ana professional gan ?maana kutwa yuko mtandaoni kaz kusema wenzake wauza unga,Mara WaTz yaan vipoint virefu virefu tu.....hii kaz ndio inamlipa mpk kuishi L.A???
Stay at home mom, swali lingine?
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Mange Mange Mange Kimambi, mwanamke mwenye matusi kushinda yale ya makuli wa mizigo. Uliwatukana sana wanasiasa hasa Lowassa jamani bila hata kosa. Mimi siyo team Lowassa ila nilisikitika sana na yale matusi kwa kuwa Lowassa naye ni baba wa familia halafu kama ni kuugua basi ujue wote tutaugua na si kumtukana kiasi kile. Uzuri waliomtukana wengine walimtangulia mbele ya haki na wewe Mange ndoa yako imetangulia. Ninafikiri kwa sasa utakuwa na adabu.
 
Evidence ya ndoa kufa unayo? Weka link au any proof inayoonyesha kadivorce (usinionyeshe kidole kisicho na pete that dont matter)
 
Evidence ya ndoa kufa unayo? Weka link au any proof inayoonyesha kadivorce (usinionyeshe kidole kisicho na pete that dont matter)
Mleta mada atuonyeshe ila lisemwalo kama halipo laja. Mange ni member hapa aje akanushe.
 
Hana lake jambo, mbele kauza nyumaa kaweka rehani, kabaki mdomo tuu Na angekua vijijini Basi angekua Mwanga , Au DG wao, manake ku kichaaa anawaaduwiaa wenzie hasbiallah ...Kama Hana aombe sio kufisidii
Wenzie....
 
Halafu mlivyo wajinga, mnashabikia ooh kaachwa, Mange anawakata vilimilini anawawekea video kuwafunga midomo mnabaki kusema analea watoto mara anaota, pateni na nyie waume wa namna hiyo anaewaacha yet anawalipia kila kitu at 100% muwe kuwa stay at home moms, in LOS ANGELES. Otherwise jifungieni makwenu huko Mwananyamala mtulie.
 
Back
Top Bottom