Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kichwapaziiii ingefaa awe mgeni rasmi kwenye party hiyo.nasikia wadada wa mujini leo wana bonge la party
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwapaziiii ingefaa awe mgeni rasmi kwenye party hiyo.nasikia wadada wa mujini leo wana bonge la party
Hiyo family yakina Lowrey sijui bidada ameacha hadithi, kama si wale watoto wawili aliozaa nae wasingependa hata kuwa na kumbukumbu nae.kwanini ameachwa kwanza? nasikia alimpiga hata mama mkwe
Kichwapaziiii ingefaa awe mgeni rasmi kwenye party hiyo.
yaaani ningemjua kichwapanziii ningempa zawadi?Kichwapaziiii ingefaa awe mgeni rasmi kwenye party hiyo.
Acha tu kuna siku alisema wanawake ambao hawana designer handbags hawana class.yaaani ningemjua kichwapanziii ningempa zawadi?
mange alitufanya wanawake tukajiona hatuna bahati jamani?
kichwa panzi alipost evidence ambayo inaonyesha mumewe alifile divorce mwanzoni mwa mwezi huu sasa bi dada amepanic kamwaga mchele kumbe ndoa haipo long time, ila kajitapa kashapata kibabu....yaani kujitapa kote kule kwamba haachwi ni uwongo!!
Shoga za kupotezana?
Yan mi namuomba Gonga amchukue binti yake aishi nae na Lance achukue wanae, Mange abaki huru ahangaike na dunia, maana kwa stress hizo wakimuachia watoto watateseka tu, hata kama baba zao watatoe hela za matumiz hao watoto kwa sasa waende tu kwa baba zao
kibabu kilimkimbia alitaka kuhamia na watoto kizee chenyewe kihuni kikagoma wazungu hawapendi mastess ya vichanga etiKumbe kule kujikondesha ilikua ni sababu apate bwana mpya ndio kile kibabu wameunganishwa picha si kitamfia kifuanii
sijui alimpa wa nini wakati alimtoa akiwa kichanga kabisaYan mi namuomba Gonga amchukue binti yake aishi nae na Lance achukue wanae, Mange abaki huru ahangaike na dunia, maana kwa stress hizo wakimuachia watoto watateseka tu, hata kama baba zao watatoe hela za matumiz hao watoto kwa sasa waende tu kwa baba zao
My Comrade
Nyani Ngabu
Huyu Dada aliwahi kuwadhalilisha sana Watanzania wa US.
Ila niliwahi kusema haya maisha ya kishamba ya kutukana hata watu asiowajua yatamtokea puani soon
kumbe huko usa hata watoto hampeleki shule?Alimdhalilisha nani hasa zaidi ya kusema maneno ya kejeli ambayo hayakuambatana na ithibati yoyote ile?
Hakuna ugumu wowote ule katika kumkejeli mtu kwa kutumia uzushi.
Si unazusha tu....hata mimi hapa sasa hivi naweza kusema Ben Saanane anaishi kwa kutegemea hisani za marafiki zake.
Sasa, kama tupo kwenye hali ya mfarakano wapo wataofurahia mimi kusema hivyo na pengine wataamini kabisa nilichokisema.
Lakini je, mimi kusema hivyo bila ithibati yoyote ile ndo kunaakisi uhalisia wa maisha yako kweli? Hususan ukizingatia hata sikujui zaidi ya kukusoma tu humu?
Watu wakiwa katika hali ya ugomvi huambizana kila aina ya maneno kwa lengo la kuchukizana.
Kwa hiyo mimi sioni kabisa kama aliwadhalilisha 'sana' Watanzania waishio Marekani.
Labda aliwadhalilisha hao mahasimu wake. Lakini si Watanzania wote.
Kwanza, hawajui Watanzania wote na si wote wanaomjua.
Pili, kila mtu yuko tofauti kwa kila namna ikiwemo hali ya kiuchumi.
Tatu, huenda hizo kashfa zote alizozitoa zilikuwa ni psychological projection tu. Natumai unaifahamu hiyo dhana/ nadharia ya saikolojia.
Yaah kwasababu baba yake ni mzungu kijana tena ni architect.kumbe huko usa hata watoto hampeleki shule?
si muwalete huku baby class zipo kibao hata elf 50 jamani? yaani mtoto wa mange tu ndo anasoma akiwa under 3 yrs wengine hadi 7 yrs poleni sana wabeba box
Bi polarity ya yule shangazi ndo inaleta yote haya,huwa anatulia kidogo vikimuwasha anarudi tena.mtu ukishajijua una ugonjwa au kasoroflani unatakiwa ujifunze kuwa mpole
kumbe huko usa hata watoto hampeleki shule?
si muwalete huku baby class zipo kibao hata elf 50 jamani? yaani mtoto wa mange tu ndo anasoma akiwa under 3 yrs wengine hadi 7 yrs poleni sana wabeba box