Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

kwanini ameachwa kwanza? nasikia alimpiga hata mama mkwe
Hiyo family yakina Lowrey sijui bidada ameacha hadithi, kama si wale watoto wawili aliozaa nae wasingependa hata kuwa na kumbukumbu nae.
 
yaaani ningemjua kichwapanziii ningempa zawadi?
mange alitufanya wanawake tukajiona hatuna bahati jamani?
Acha tu kuna siku alisema wanawake ambao hawana designer handbags hawana class.
 
Yan mi namuomba Gonga amchukue binti yake aishi nae na Lance achukue wanae, Mange abaki huru ahangaike na dunia, maana kwa stress hizo wakimuachia watoto watateseka tu, hata kama baba zao watatoe hela za matumiz hao watoto kwa sasa waende tu kwa baba zao
 
Demu ana display signs za malignant narcissism syndrome i.e. narcissism + anti social personality + aggression and sadism. Yuko very comfortable maybe hata ku-enyoy inflicting pain on others hata wanawe sidhani kama wako safe.
 
kichwa panzi alipost evidence ambayo inaonyesha mumewe alifile divorce mwanzoni mwa mwezi huu sasa bi dada amepanic kamwaga mchele kumbe ndoa haipo long time, ila kajitapa kashapata kibabu....yaani kujitapa kote kule kwamba haachwi ni uwongo!!

Kumbe kule kujikondesha ilikua ni sababu apate bwana mpya ndio kile kibabu wameunganishwa picha si kitamfia kifuanii
 
I'm sure Gonga anasoma hapa , ni jambo jema asije umiza malaika wa Mungu but.

Yan mi namuomba Gonga amchukue binti yake aishi nae na Lance achukue wanae, Mange abaki huru ahangaike na dunia, maana kwa stress hizo wakimuachia watoto watateseka tu, hata kama baba zao watatoe hela za matumiz hao watoto kwa sasa waende tu kwa baba zao
 
Kumbe kule kujikondesha ilikua ni sababu apate bwana mpya ndio kile kibabu wameunganishwa picha si kitamfia kifuanii
kibabu kilimkimbia alitaka kuhamia na watoto kizee chenyewe kihuni kikagoma wazungu hawapendi mastess ya vichanga eti
 
Yan mi namuomba Gonga amchukue binti yake aishi nae na Lance achukue wanae, Mange abaki huru ahangaike na dunia, maana kwa stress hizo wakimuachia watoto watateseka tu, hata kama baba zao watatoe hela za matumiz hao watoto kwa sasa waende tu kwa baba zao
sijui alimpa wa nini wakati alimtoa akiwa kichanga kabisa
 
Kumbe kichwa panzi alisema ukweli jamanii mi nilijuaga ni muongo kha!!ila ndio hivyo si amesoma ana master ya ya nini sikumbukiii vole
 
My Comrade

Nyani Ngabu

Huyu Dada aliwahi kuwadhalilisha sana Watanzania wa US.

Ila niliwahi kusema haya maisha ya kishamba ya kutukana hata watu asiowajua yatamtokea puani soon

Alimdhalilisha nani hasa zaidi ya kusema maneno ya kejeli ambayo hayakuambatana na ithibati yoyote ile?

Hakuna ugumu wowote ule katika kumkejeli mtu kwa kutumia uzushi.

Si unazusha tu....hata mimi hapa sasa hivi naweza kusema Ben Saanane anaishi kwa kutegemea hisani za marafiki zake.

Sasa, kama tupo kwenye hali ya mfarakano wapo wataofurahia mimi kusema hivyo na pengine wataamini kabisa nilichokisema.

Lakini je, mimi kusema hivyo bila ithibati yoyote ile ndo kunaakisi uhalisia wa maisha yako kweli? Hususan ukizingatia hata sikujui zaidi ya kukusoma tu humu?

Watu wakiwa katika hali ya ugomvi huambizana kila aina ya maneno kwa lengo la kuchukizana.

Kwa hiyo mimi sioni kabisa kama aliwadhalilisha 'sana' Watanzania waishio Marekani.

Labda aliwadhalilisha hao mahasimu wake. Lakini si Watanzania wote.

Kwanza, hawajui Watanzania wote na si wote wanaomjua.

Pili, kila mtu yuko tofauti kwa kila namna ikiwemo hali ya kiuchumi.

Tatu, huenda hizo kashfa zote alizozitoa zilikuwa ni psychological projection tu. Natumai unaifahamu hiyo dhana/ nadharia ya saikolojia.
 
kumbe huko usa hata watoto hampeleki shule?
si muwalete huku baby class zipo kibao hata elf 50 jamani? yaani mtoto wa mange tu ndo anasoma akiwa under 3 yrs wengine hadi 7 yrs poleni sana wabeba box
 
Yaah kwasababu baba yake ni mzungu kijana tena ni architect.
 
Bi polarity ya yule shangazi ndo inaleta yote haya,huwa anatulia kidogo vikimuwasha anarudi tena.mtu ukishajijua una ugonjwa au kasoroflani unatakiwa ujifunze kuwa mpole

But it takes two tango.

She doesn't do it all by her lonesome or does she?

Clearly there is an obsession with her.
 
kumbe huko usa hata watoto hampeleki shule?
si muwalete huku baby class zipo kibao hata elf 50 jamani? yaani mtoto wa mange tu ndo anasoma akiwa under 3 yrs wengine hadi 7 yrs poleni sana wabeba box

Watoto wa nani hawapelekwi shule?
 
Back
Top Bottom