Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

jamani na suggest kila ikifika jioni tuwe tunapata summary kutoka kwa Mange ......yaani .....KUTOKA KWA MANGE LEO!, au YALIYOJIRI KWA MANGE LEO, AMKA NA MANGE , HABARI MOTO MOTO ZA MANGE LEO...n.k au mnasemaje ?
Uko sahihi kungekuwa na tread ya mange huku ingekuwa poa ili ambao hatupiti huko IG tuwetunapata habari hapa
 
Uko sahihi kungekuwa na tread ya mange huku ingekuwa poa ili ambao hatupiti huko IG tuwetunapata habari hapa

kweli maana wengi hawaingii IG , na kama mange anatusoma hapa aifufue ile account yake ya Facebook , kule ndo atafikisha ujumbe kirahisi zaidi maana fb ni bure
 
Halafu kweli bana alikuwa anajua kutafuta mtonyo Mara diamond forever, Cayenne rest etc., .. Asa za hivi cjui kawaje au kalogwaaa?!?
Kwan diamond forever aliandaa mange sio diamond mwenywe na management yake?
 
Ninge fanya mchakato nimuoe sema nasikia ni mtata balaa kuna mtu humu alisema kwamba huko majuu alisha mtandika baba mkwe
wake makofi ya uwakika mbaka akatia adabu!
Basi mbabe, lkn inawezekana wenzetu wanaogopa kupiga wanawake maybe kesi yake yawezekana kuwa kubwa. Lkn kwa bongo huku akithubutu aisee mbona angejua
 
Mi kaniacha hoi pale anaposema huyo Beatrice anagawa papuchi bila condom[emoji15] [emoji15] ...kwi kwi kwi, mi nakwambia huko aliko bite, anajiharishia asee..
Atajutraa watu wanajijua wana ndoa kumchokoza mange
 
Na asilogwe aje bongo huyu zama za magu ataisoma number atawekwa ndani cku anaachiwa atakua bibi bhoke, atakua kashamletea mjukuu. Naona kwa kàmpeni aliaidiwa cheo kwa ajili ya kutukana naona hawakumpa naona kawageuzia kibao.
Me mwenyewe nahisi huyu dada aliahidiwa cheo kipindi cha kampeni.
 
Haaa haaa mange ni shida huo wokovu wake ni balaa....asa Leo umeona mwendelezo? Anamwambia huyo Bite eti kavaa mchupi Mkubwa hajui hata bikini 2016[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji16] [emoji16] ...ha ha ha nimecheka hadi mbavuu zangu zinaumaaa
[emoji28][emoji28][emoji28]ila mange anachamba na watu wenye kuchamba hawanaga nguvu kabisa
 
Mkuu kwani kuna tatizo na alivyo mrembo vile ningefaidi sanaView attachment 395203wanasemaga wazungu wanaakili ila yule wa mange kiazi anaacha mke mzuri na watoto anaenda kwa umaga mcheza mieleka kweli MajangaView attachment 395205
Mkuu uzuri wa mwanamke sio urembo kamwe usihadaike na umbo la nje, umbo la ndani likiwa na uchafu yaani uongo, usengenyaji, kujidai, kujiona ww ndo ww na uchafu ni heri kuwa na mtu asiye na mvuto wa nje lkn mkaelewana na kusikilizana. Kikubwa heshima tu
 
jamani na suggest kila ikifika jioni tuwe tunapata summary kutoka kwa Mange ......yaani .....KUTOKA KWA MANGE LEO!, au YALIYOJIRI KWA MANGE LEO, AMKA NA MANGE , HABARI MOTO MOTO ZA MANGE LEO...n.k au mnasemaje ?
Fungueni thread nyingnine
 
Maskini mi yule Beatrice namuonea hadi huruma yaani hadi Leo kaamka nae asee..kichambo anachopewa atajiona useless duniani[emoji24] [emoji31] [emoji26]
Kuna kitu nimegundua, kuna watu wanapenda kumuona Mange akitukana watu na hawa ndio wanaomfata DM na kumpa habari ya muhusika haijalishi ya uongo kwa chuki au ya ukweli. Ila kwa matusi ya mitandaoni tu wengine kwao mafuta. Nimeona huyo dada naye kakomaa tu
 
Haaa haaa mange ni shida huo wokovu wake ni balaa....asa Leo umeona mwendelezo? Anamwambia huyo Bite eti kavaa mchupi Mkubwa hajui hata bikini 2016[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji16] [emoji16] ...ha ha ha nimecheka hadi mbavuu zangu zinaumaaa
Hilo la mchupi wengi tumetukanwa, mie mkuu siwezi kuvaa kikamba hicho yaani nitajihisi sijavaa chupi kabisa, nina mwili mkubwa basi sipati picha makalio yatakavyokuwa yakitetemeka, akuuuu mie uzungu huo unipite kwa kweli
 
[emoji28][emoji28][emoji28]ila mange anachamba na watu wenye kuchamba hawanaga nguvu kabisa
Hilo nalo neno. Hajapata wa saizi yake kwa hao. Ila kichwapanzi kamnyonyoa aisee, uwepo wa kp unamjambisha Mange muda wote
 
Kwan diamond forever aliandaa mange sio diamond mwenywe na management yake?
Navyosikia am not sure... Ni project yao Yeye na Mwamy, pale Dangote alipewa kikita chake 50m tu... hapo unaeza kuta ni ishu ya mwamy ila kutokana na ushost sasa na yeye anajiongeza
 
Back
Top Bottom