Taleban yazitaka Palestina na Israel kutafuta amani kwa njia ya mazungumzo. Yatamka kuwa haiungi mkono ugaidi

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Baada ya siku za hivi karibuni kuhusishwa na mpango wa kutuma wanajeshi kwenda kujiunga na Hezbollah kuipiga Israel, uongozi wa Taleban umejitokeza na kukanusha tuhuma hizo.

Taleban imetamka wazi kuwa haiungi mkono vitendo vya kigaidi na kuzitaka pande zote kuketi chini na kutafuta amani kwa njia ya mazungumzo.

20231013_221402.jpg
 
Sio TALEBAN na wewe!

Uko dunia gani ?

hakuna kitu kinakera kama kuletewa habari na watu ambao walifeli feli shule....
 
Hawa hawa Taliban waliogoma kumtoa Osama mpka Kabul ikawa magofu 2001?
 
Kwani ulikua unajua Taliban ni magaidi mkuu hizo ni siasa Tu ukipata ushindi ugaidi unakufa ni kama Israel wanavyoita wezao magaidi wkt wanacho kufanya hakina tofauti na wao
hamas huanzisha hivyo majibu ya israel yanafuata
 
Sawa mkuu kama umeamua hvyo lkn mm najua gaidi ni Yule anaye ua watoto na wanawake bila kujali au raia sasa ktk hesabu zako watoto 400 na zadi wameuli na Israel je we unaona wao wako Sawa. Je hao watoto ni hamasi mkuu.
kwmba hujui kwan israel inafanya hvyo? au unajitoa ufaham?
 
Sawa mkuu kama umeamua hvyo lkn mm najua gaidi ni Yule anaye ua watoto na wanawake bila kujali au raia sasa ktk hesabu zako watoto 400 na zadi wameuli na Israel je we unaona wao wako Sawa. Je hao watoto ni hamasi mkuu.

Shida ya Hamas anatumia raia Kama Kinga. Ila Hamas ni Magaidi na ndio waliomuingiza kingi Arafat akaacha makubaliano ya Oslo kwa kuwaogopa.
 
Sawa mkuu kama umeamua hvyo lkn mm najua gaidi ni Yule anaye ua watoto na wanawake bila kujali au raia sasa ktk hesabu zako watoto 400 na zadi wameuli na Israel je we unaona wao wako Sawa. Je hao watoto ni hamasi mkuu.
Hao watoto ni terror bred future terrorists
 
Back
Top Bottom