Taleban yazitaka Palestina na Israel kutafuta amani kwa njia ya mazungumzo. Yatamka kuwa haiungi mkono ugaidi

Hawasupport ugaid? Naona wameanza siasa! Kwasababu mwanasiasa akikwambia ni saa saba mchana mkiwa ndan toka nnje huwenda ni saa moja usiku
 
Gaidi ni yule mwamba anae ning'inia pale msalabani na kichupi chake.
Alikua anajifanya fundi seremala kumbe ni gaidi, alivyo shtukiwa na wenye mamlaka ikabidi wampe kilicho stahili.

Sio nabii isa bin mariam[emoji28][emoji28]
 
Daah.

Mnakosea sana wakuu.

Nyote mnakosea,

Mijadala iko tofauti sana na huku tunakoenda.

Tuheshimiane kiimani tujadili hoja kistaha.

Kuanza kumsema vibaya Yesu wa Wakrostu ama Muhammad inajenga mijadala au ni kutukanana tu.

Uungwana pia ni kuheshimu imani za mwenzako.
Noted mkuu nitajirekebisha. Heshima kwako
 
Tibani walishawekwa mfukoni na us tangu kitambo,us iliondoka afgan baada ya makubaliano kati yao na afgani.
 
Sawa mkuu kama umeamua hvyo lkn mm najua gaidi ni Yule anaye ua watoto na wanawake bila kujali au raia sasa ktk hesabu zako watoto 400 na zadi wameuli na Israel je we unaona wao wako Sawa. Je hao watoto ni hamasi mkuu.
Alieanzisha zari Nani?? [emoji101][emoji101]
 
Hawasupport ugaid? Naona wameanza siasa! Kwasababu mwanasiasa akikwambia ni saa saba mchana mkiwa ndan toka nnje huwenda ni saa moja usiku
Nimecheka kuwasikia Vijana wa kazi wakikemea vita [emoji1][emoji1]
 
Wakuu mambo hubadilika. Miaka ya zamani Afghanistan haikuwa na hizi ishu za misimamo mikali kiasi kwamba hata mabeberu waliishi Kabul lakini baadae mambo yakabadilika. Somalia zamani ilikuwa msuluhishi wa mgogoro wa Tanzania na Uganda kabla ya vita ya Kagera. Leo hii Somalia ni nyumba ya machafuko. Zimbabwe ilikuwa na uchumi mkubwa kiasi kwamba iliweza kumsaidia Hayati Laurent Kabila asing'olewe madarakani kihuni na waasi kwa kutuma ndege zake za kivita na kusambaratisha waasi. Kwahiyo huenda Afghanistan chini ya Taliban imeshajipata na ndo mwanzo wa Afghanistan mpya. Nimeona wana page mitandaoni ya kutangaza nchi yao hasa jiji la Kabul.
 
Duh...
 
Yaani , enzi hizo wahakemea na washapiga na mkwara kabisa kwa US .

NAKUMBUKA Talwban + Alqaeda shughuli yao ilikuwa si ya kitoto.
Kumbe wote wanasiasa wachumia tumbo tu kupitia dini....sasa hv wamepewa nchi..wanapeta tu
 
Gaidi ni yule mwamba anae ning'inia pale msalabani na kichupi chake.
Alikua anajifanya fundi seremala kumbe ni gaidi, alivyo shtukiwa na wenye mamlaka ikabidi wampe kilicho stahili.
Nabii ISSA BIN MARIAM
 
Afghanistan kwa sasa
FB_IMG_1697440749724.jpg
Screenshot_20231016-091807_Facebook.jpg
FB_IMG_1697440700933.jpg
FB_IMG_1697440758818.jpg
 
Taleban ni Pashtuni kabila ambalo ni one of the Ten lost tribe of Israel.
 
Baada ya siku za hivi karibuni kuhusishwa na mpango wa kutuma wanajeshi kwenda kujiunga na Hezbollah kuipiga Israel, uongozi wa Taleban umejitokeza na kukanusha tuhuma hizo.

Taleban imetamka wazi kuwa haiungi mkono vitendo vya kigaidi na kuzitaka pande zote kuketi chini na kutafuta amani kwa njia ya mazungumzo.

Basi dunia si uwanja wa vita daa.
 
Wababe wa USA na NATO yake nzima, pia ndiyo wababe wa Mrusi na Muingereza.

Hao watuwanatisha na wanapenda sana amani, mradi usiwachokoze tu.

Hawajawahi kushindwa vita.
 
Back
Top Bottom