Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magaidi ni wanaharakati wenye madai fulani.Kwani kuna mtu asiejua taliban ni magaidi?, hizo ni mbinu za kutaka kujisafisha tu.
Acha kufuru fuata maagizo ya vitabu vyako vya dini mengine muachie Mungu wako ndo anajua,Mungu hapiganiwi na binadamu ,yeye ni muumba wa vyote unavyovijua!Msitoleane mapovu bure.Gaidi ni yule mwamba anae ning'inia pale msalabani na kichupi chake.
Alikua anajifanya fundi seremala kumbe ni gaidi, alivyo shtukiwa na wenye mamlaka ikabidi wampe kilicho stahili.
Yaani afya ya akili ni janga!Maana watu wazima wanatoka nje ya mada;Amini Mungu yupo,ili ukikutana nae usije ukasema sasa naamini upi.Kila binadamu ataonja mauti na kila binadamu atahukumiwa kwa matendo yake!Daah.
Mnakosea sana wakuu.
Nyote mnakosea,
Mijadala iko tofauti sana na huku tunakoenda.
Tuheshimiane kiimani tujadili hoja kistaha.
Kuanza kumsema vibaya Yesu wa Wakrostu ama Muhammad inajenga mijadala au ni kutukanana tu.
Uungwana pia ni kuheshimu imani za mwenzako.
Sio kweli, makubaliano ya Oslo yalifanikiwa na yalipelekea kuanzishwa kwa mamlaka ya Palestine mwaka 1993 na PLO kutambulika rasmi kama wawakilishi wa Palestine.Shida ya Hamas anatumia raia Kama Kinga. Ila Hamas ni Magaidi na ndio waliomuingiza kingi Arafat akaacha makubaliano ya Oslo kwa kuwaogopa.