MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kabla ya vita ya Kagera, Somalia ndo ilikuwa msuluhishi wa Tz na UG... mazungumzo ya amani yalikuwa yanafanyikia Mogadishu... mambo hubadilika.Dunia inakimbia sana...Taliban hawa hawa
Si na yeye atawapiga wote au.?Sasa wasipoacha atawafanya nini.?
Maana hiyo kauli ni kama amri, wasipotekeleza atafanya jambo
Kwani ulikua unajua Taliban ni magaidi mkuu hizo ni siasa Tu ukipata ushindi ugaidi unakufa ni kama Israel wanavyoita wezao magaidi wkt wanacho kufanya hakina tofauti na waoDunia inakimbia sana...Taliban hawa hawa
Hana jeuri hiyoSi na yeye atawapiga wote au.??
Kaka kawaambia wadogo zake waache kugombana wasiposikia anachukua kiboko anawatandika wote au Vipi??
Hamas wanafanya ugaidi.Kwani ulikua unajua Taliban ni magaidi mkuu hizo ni siasa Tu ukipata ushindi ugaidi unakufa ni kama Israel wanavyoita wezao magaidi wkt wanacho kufanya hakina tofauti na wao
Sawa mkuu kama umeamua hvyo lkn mm najua gaidi ni Yule anaye ua watoto na wanawake bila kujali au raia sasa ktk hesabu zako watoto 400 na zadi wameuli na Israel je we unaona wao wako Sawa. Je hao watoto ni hamasi mkuu.Hamas wanafanya ugaidi..
Kujificha nyuma ya raia alafu unaua watu ni ugaidi
Sio TALEBAN na wewe!Baada ya siku za hivi karibuni kuhusishwa na mpango wa kutuma wanajeshi kwenda kujiunga na Hezbollah kuipiga Israel, uongozi wa Taleban umejitokeza na kukanusha tuhuma hizo.
Taleban imetamka wazi kuwa haiungi mkono vitendo vya kigaidi na kuzitaka pande zote kuketi chini na kutafuta amani kwa njia ya mazungumzo.
Mkuu ulipata chakula cha usiku au ni njaa imekuamsha ukaamua ku-comment ushuzi?Sio TALEBAN na wewe!
Uko dunia gani ?
hakuna kitu kinakera kama kuletewa habari na watu ambao walifeli feli shule....
Hujui hata ku spell Taliban, hatuko level moja kabisa, pita kuleMkuu ulipata chakula cha usiku au ni njaa imekuamsha ukaamua ku-comment ushuzi?
hamas huanzisha hivyo majibu ya israel yanafuataKwani ulikua unajua Taliban ni magaidi mkuu hizo ni siasa Tu ukipata ushindi ugaidi unakufa ni kama Israel wanavyoita wezao magaidi wkt wanacho kufanya hakina tofauti na wao
Taleban [emoji16][emoji16]hujui ku spell Taliban, hatuko level moja kabisa, pita kule
kwmba hujui kwan israel inafanya hvyo? au unajitoa ufaham?Sawa mkuu kama umeamua hvyo lkn mm najua gaidi ni Yule anaye ua watoto na wanawake bila kujali au raia sasa ktk hesabu zako watoto 400 na zadi wameuli na Israel je we unaona wao wako Sawa. Je hao watoto ni hamasi mkuu.
Sawa mkuu kama umeamua hvyo lkn mm najua gaidi ni Yule anaye ua watoto na wanawake bila kujali au raia sasa ktk hesabu zako watoto 400 na zadi wameuli na Israel je we unaona wao wako Sawa. Je hao watoto ni hamasi mkuu.
Hao watoto ni terror bred future terroristsSawa mkuu kama umeamua hvyo lkn mm najua gaidi ni Yule anaye ua watoto na wanawake bila kujali au raia sasa ktk hesabu zako watoto 400 na zadi wameuli na Israel je we unaona wao wako Sawa. Je hao watoto ni hamasi mkuu.
Haijalishi kitendo cha kuua raia teyari umekua gaidi huwezi kusemea collateral damage hiyo unajua watoto zaidi ya 500hamas huanzisha hivyo majibu ya israel yanafuata