TALIBAN imezitaka Urusi na Ukraine kutatua mzozo huo kwa njia za amani

... hivi uko utupu hadharani mhuni akiku-alert uko utupu atakuwa wrong kwa sababu ni mhuni? Let's accept the reality whether it's against our wishes or otherwise.

natania tu mkuu...
 
Hata mimi ningekua putin ningewabomoa tuu. Haiwezekani mtu ana kuweka kidole machoni halafu unamwangalia tuu.
Ukraine haijajiunga na Nato.

Ukraine haina silaha zilizowekwa na marekani.

Ukraine ni Taifa huru lenye haki ya kufanya maamuzi yake.

Urusi inafanya maamuzi yake na haiingiliwi na Ukraine.

Kwanini Urusi isiheshimu maamuzi ya nchi huru??
 
Ukraine ina full support ya NATO ambao ni maadui dhahiri wa Russia. Putin hawezi kuwa mjinga kukaribisha maadui zake kwenye mipaka ya nchi yake. Never
 
Ukraine ina full support ya NATO ambao ni maadui dhahiri wa Russia. Putin hawezi kuwa mjinga kukaribisha maadui zake kwenye mipaka ya nchi yake. Never
Style ya Putin na Magufuli hazina tofauti wote ni nationalist

Ila unamchukia Magufuli na kumsupport Putin kisa ni mzungu.

Miafrika ndivyo tulivyo.
 
Style ya Putin na Magufuli hazina tofauti wote ni nationalist

Ila unamchukia Magufuli na kumsupport Putin kisa ni mzungu.

Miafrika ndivyo tulivyo.

Magu hatunaye je Putin naye ataondoka??!! 😨
 
Duuu Talban katisha.
 
Naskia wamesema ushauri wao usiposikilizwa wataingia na kuwapiga wote hadi wapotee
 
Hii ndio serikali sasa, 🤣🤣 sijui kwanini hawajafungua ubarozi wao hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…