Taliban, kiboko ya USA wafanya gwaride la kuonesha vifaa walivyomteka USA baada ya kumtandika mpaka akatoka mbio

Hao wanawaenzi wanawake.
Kuwatenga wanawake na kutowapa uongozi ni kuwaenzi?

Umewasifia sana hao Taleban kwa kuwa ni Waislam halisi.

Waislam mliopo TZ sio Waislam halisi maana mko chini ya utawala wa mwanamama.

Kwa Taleban mwanamke kuwaongoza/kutawala wanaume ni haramu.
 

Nakushangaa sana na makala zako. Sasa hapo america ameumiaje? Pared ndio imuumize america ambae sasa hiv yuko busy na mambo mengine? Seriouly?

You are better than that
 
Maneno tu hayo, pitia mtandaoni uone.

Wewe unawasikiliza sana uongo wa USA kwa kutaka dunia iwaunge mkono?


Uislam ndiyo uliofundisha ukimsomesha mwanamke ni kama umeisomesha dunia.
Afghanistan wanasomesha wanawake? Sisi waafrika dini zetu ni zipi, tujitambue sasa
 
Wamuombe PUTIN waende kupigana ukraine maana USA anaweza pigwa na kinyago alichotengeneza mwenyewe.

Kiukweli hawa wanatakiwa hata ikiwezekana watumwe hadi USA wakapige mabomu tu huko maana wanaweza ingia na kufanya yao.

Then ndo wajue walichofanyiwa hawa jamaa nchini mwao hakikuwa kitu kizuri
 
Ungeachana nao ukajikita kwenye hoja.
 
Alipo uawa Osama walikuwa nchi Gani?, America Hawa ondokagi na vifaa, huwa wana viacha.Kwao askari wao ndio wa maana, pili majeshi mengi hayatumii silaha za adui, Hili ni jeshi la ajabu
Hivi vifaa vikiaribika, watapata wapi vipuri vya kutengeneza, na hizo nguo wana kiwanda zikichakaa....?
 
Wewe ukiiina maiti ya Osama? Si walijidai. Etu. Wsmemzika baharini. Kuna bahari ya nani huko, tazama ramani.

USA waongo, wewe unaamini walimuua?
Punguza jazba ili uandike kwa usahihi, unachapia chapia kuandika utafikiri unaandika ukiwa unaoga nje ya nyumba.
 
Nilijua kwamba wewe ni Taliban, ucje moyo USA ni mume wenu Warabu, hata akiamua kurudi leo hii wote mnakuwa kama mbwa tu

Kwa miaka 20 USA alikalia nchi yenu, akiwafanyisha kazi za kitumwa mabwana na wake zenu, akafu leo unakuja hapa kutwambia nini?

USA sio Russia akiamua kuwakalisha ni ndani ya wiki tu manigaz wapo kabul, wanajichagulia warembo wakitalban kama wewe hapo!!
 
AlhamduliLlah, nipo kwangu starehe na surf tu. Si ndiyo kupumzika huku.
Wewe unaandika ukiwa umejificha Tanzania huku, ungekuwepo huku wakati mabwana zenu Talban wanaishi kama digidigi kwenye milima ya kandahar huko, usingewashwa hivi USA ni baba lenu warabu
 
Naona wewe imekuuma mambo ya Taliban. Subiri tu nondo ikuingie.
. Hivyo vidume lazima uchukie kuvipenda, si mchezo.
Faiza ni kafiri tu mla nguruwe, hana lolote aende Afghanstan ili akabakwe huko, huko wakina Faiza Fox ni vyombo vya kustarehesha talban tu wala sio chchte
 
Bi DP world katika ubora wako
Siyo Taliban katika ubora wao?

Taliban wamenifurahisha sana, halafu wanasema, hao USA hawathubutu tena hata kufikiria kurudi Afghanistan.
 
Wewe unaandika ukiwa umejificha Tanzania huku, ungekuwepo huku wakati mabwana zenu Talban wanaishi kama digidigi kwenye milima ya kandahar huko, usingewashwa hivi USA ni baba lenu warabu
Sijakuelewa kabisa unachobwabwaja.

Umeiona video clip ya pili, Taliban wamevua nguo zao za kawaida yao wametinga na combat walizoziteka kwa mabwana zenu wamarekani? .

Wanachekesha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…